Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

HUjawahi kusikia nn? HUyu jamaa malaya kiama, juzi tu katoka kuchambwa kule insta na tabia yake ya umalaya, anawaita wadada uko kijijin anawadanganya atawachezesha movie, anawap script akishawafanya tu haonekan anakutosa, jamaa ana sura ya upole ila ni chui huyo hafai

Tena nasikia bahili kinyama.
Kazi kuwalala ma underground na kuwakimbia...walimchamba insta.
Hana lolote kuwatumia tu mabinti wa wenzie.
Ila gf wake ana sura ngumu kama ya Carlos jambazi.
 
Utamu ninao mwenyewe ila lazima kuwe na kisababishi cha kuutengeneza

Nilidhani kisababishi ni mayai yako mawili...nasikia nyie hata kuku mnamwangukia na utamu mnaupata vilevile.
 
Nilidhani kisababishi ni mayai yako mawili...nasikia nyie hata kuku mnamwangukia na utamu mnaupata vilevile.

Sasa ngeye gani mpaka kuku,hapo hakuna aliyesalama hujui kazi za wale vimbwa vidogo nini wa vidada vya mjini!
Ishu kupata tu muwashawasha
 
Sasa ngeye gani mpaka kuku,hapo hakuna aliyesalama hujui kazi za wale vimbwa vidogo nini wa vidada vya mjini!
Ishu kupata tu muwashawasha

Ha ha ha!
Unamaanisha kina swiss wana kazi yao?
Ndio maana nakwambia utamu unao mwenyewe hapo nyuma ya pc yako.Yani ukifumba macho na kuvuta hisia kwisha habare yako.
Utaona kuwa vingine ni kachumbari tuu
 
Hahhaa nyuma ya PC sio bhana,joto halitoshi
 
Ukiambiwa ukweli uwage unatulia. Matusi na majazbajazba ni kipimo cha utu.
 
Back
Top Bottom