warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
Ww walimvumishia bana siunajua wabongo hatuchelewi kuchafua
Wamvushie kwa ustaa gan aliokua nao?
Ww walimvumishia bana siunajua wabongo hatuchelewi kuchafua
Achana nae huyo ni mgomvi sana, kuna kipindi alinivamia from no where kama wewe.
Hiyo ndiyo kawaida yake asikuharibie mood.
Cheki unavyotokwa povu! Hebu soma ulichoandika halafu jitazame kwenye kioo! Kwa kawaida uchafu mbaya ni mavi na hatupendi kabisa kusikia uwepo wake, lakini kuna wakati hutoa harufj kali kabisa ili tutambue uwepo wake!
Mwanamke sura shape hata kwa mchina unapata.
Hahaaaa nani ka kwambia si kweli inategemea ntu na ntu.
...wapo pia wanaopata sura za kichina.
atakua na kibamia halaf wanaume wazuri huongoza kwa vibamia
Wamvushie kwa ustaa gan aliokua nao?
Hilo jinamizi kuna kipindi lilinavamia kama huyu mdada, anapenda ugomvi sijapata kuona.
Ila mimi nilimpotezea kila alivyokua anahangaika na mimi nikawa nakaa kimya.
Halafu ananyota ngumu kujua anatoka na huyu dada nimefanya kazi
Sawa kwa kujipa cheo cha ushetani na kunijaribu mimi mwanadamu sasa wasiponiona sina sitaha inanipunguzia nini au wewe ni mwanamle wa rammy ni nn mbona umeumia sana hadi vya kule luleta huku kwa hiyo ww peke yako ndo umewashwa kunitafuta jukwaa zima ujishangai kama wewe unajihisi umetimia sana na unauwezo mkubwa wa kufikiri katengeneze kiberiti niache mm nishobokee mapenzi kwani nakuombaga vocha mkuu mbona unajieka mbele sana
Lakini sio kwa kiasi kile zaidi ya kwenye shavu kuchonga pua ndo lips ila haku change sura yako completely.
Ntu na ntu we ni wa kule mwananke
Mwanamke shepu sura unarekebisha na vipodozi hahaha
Ahahah ahah kweli umefanya kazi, maana watu ata hawamshobokei, uko insta post zake kutwa kujisifia ye mzuri sijui nn, lijinga sana mxiuu
Inawezekana pia kubadili sura yako.
Ukitaka hata jinsia kabisa, inabadilishwa...
Ila wanamshobokea balaaa
Watu tunaanzisha uzi tupate umbea humu wengine wanaleta maugomvi
Ndio maana anawagonga na kuwaacha, shobo za kipuuzi jitu lenyewe halina pesa