tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
mmmhhhhh Baba zima lile,wabongo kwa kupunguza miaka hatujambo
Harufu y mikate imemuharibu akihama stimu za mikate atapata wapi

Hahahahaaaa, hebu tupe ubuyu wake vizuri.
Harufu y mikate imemuharibu akihama stimu za mikate atapata wapi
Sura kama imekatwa kwa mkerewe wa ukara akavishwa yeye!
Umbo kama limechorwa....the world is unfair binamu.
mmmhhhhh Baba zima lile,wabongo kwa kupunguza miaka hatujambo
helooo atajijuaaa