Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

Nilisiakiag wanafanyag mchezo mbay na hemedy, sijui ilikuwaje nikikumbuka ntakwambia

Nakuombea ukumbuke halafu huyo demu alikua anatoka na tinomuya cjui ilishia wapi pia alitembea na mtoto wa raisi sijui iliishia wap
 
Aisee huyo mwanamke ana shepu balaa,ila usoni anaogopesha
 
Nakuombea ukumbuke halafu huyo demu alikua anatoka na tinomuya cjui ilishia wapi pia alitembea na mtoto wa raisi sijui iliishia wap

Aisee huyo wa pili kuna mwanamke ambaye hajampitia hapa mjini kweli? (mastar)....maana ni balaa!
 
Watu wanamuomba azae nao?kisa uzuri???mhhhhh!!!haya makubwa
 
Genye tu izo zinawasumbua, wakishasuguliwa uko chin wanakimbilia kutoa mimba mxiuu

Umenena binamu.Kwanza huyo mkaka naona anaforce kuigiza nilimuona kwenye chausiku yani hajui kabisa kuigiza
 
Huyo ndio mwanamme mwenye uzuri? ulimuangalia wakati una ngunga nini?
 
Back
Top Bottom