Rais Mpya wa ANC kamwomba arejee kundini.
Chama chake cha EFF kinazidi kukua kwa kasi!
Nani kama Malema na EFF hapa Tanzania?
Re: Ramaphosa declares he'd love to have Malema, EFF back in the ANC
Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
Huyu hawezi kuwa kiongozi kwani ni mkali kumshinda magufui, huyo anafunga hata NZII watakaotuwa kwenye chakula au mwili wake. Anapendeza mahakamani na umahamasishaji.Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
ANC ndio inakufa hivyo, ANC Na CCM ni maiti tayari. CCM wameweza kumrejesha Dr. slaa lakini hawawezi kuyarejesha tena mapenzi ya dhati kutoka moyoni mwa Watanzania wengi wanaoteswa Na utawala huuRais Mpya wa ANC kamwomba arejee kundini.
Chama chake cha EFF kinazidi kukua kwa kasi!
Nani kama Malema na EFF hapa Tanzania?
Re: Ramaphosa declares he'd love to have Malema, EFF back in the ANC
Malema noma sanaHonorable medem speaker may... Honorable Malema seat down or am gonna shut ur mic... Ahh chawuke bana ulaba poso ilaba poso man from North West..He must answer the question.....
Kumbe....Malema tangu utotoni alikuwa mtata
Hata wewe hujielewei?? Au hauishi tanzania??Tafadhalini sana msilinganishe SA na hilo taifa lenu lililojaa vibwengo
Huko hakuna anaejielewa
Julius Malema usimlinganishe na Tundu Lissu.Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
Ila hana frastraksheni na kuwish kuwa igpHuyu hawezi kuwa kiongozi kwani ni mkali kumshinda magufui, huyo anafunga hata NZII watakaotuwa kwenye chakula au mwili wake. Anapendeza mahakamani na umahamasishaji.
Not a leader at all.
Malema unamjua au unamsikia?Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
Hata wao hawajielewi hapo walipo ni mkaburu angekuqa bado anaongoza serikali SA ingekuwa mbali sana sana.Tafadhalini sana msilinganishe SA na hilo taifa lenu lililojaa vibwengo
Huko hakuna anaejielewa
Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
He is the most frustrated person, however I do believe he is a good lawyer and well versed with law.Ila hana frastraksheni na kuwish kuwa igp