Ramaphosa declares he'd love to have Malema, EFF back in the ANC

He is the most frustrated person, however I do believe he is a good lawyer and well versed with law.

Unfortunately he is not leadership material, he will worst than All current and past leaders
Your current mkuu is far from being leadership material, East to West
 
Tundu Antiphas Lissu ndio Malema wa Tanzania..
Ni jasiri na hana woga katika kusimamia UKWELI.
Mnafiki aliyekula hela za acacia. Mnafiki aliyejileteleza kichapwa risas na dj ili wazue taharuki. Vitu vya Malema vinaonekana, hana mkono wa wazungu, lakini siyo wanafiki wa bongo mnajidai wapinzani mchana usiku mnapiga simu kwa maadui zetu wanawapa hela kuiangamiza Tz.
 
Malema unamjua au unamsikia?
Malema alikuwa anakosoa na kupinga ubadhirifu na ufisadi kwenye chama chake
Ulisikia lini Tundu lissu anamlaani Mbowe kwa kutafuna wake za watu au kujilipa ruzuku yote yeye
Nani amemkosoa aliyeuza nyumba za serikali na kupora mke wa mtu na kumpa uwaziri kisa cheupe dawa
 
He is the most frustrated person, however I do believe he is a good lawyer and well versed with law.

Unfortunately he is not leadership material, he will worst than All current and past leaders
Ila sizonje ndio hovyoooo zaidi..bora mara elfu mia saba lissu
 
Nani amemkosoa aliyeuza nyumba za serikali na kupora mke wa mtu na kumpa uwaziri kisa cheupe dawa
Ndio upeo wako wa kufikiri ulipoisha hapo
Hapa tunamzungumzia Malema na Lissu wewe unaleta habari za vijiweni nenda kwa Mange huko mpo wengi tu
 
Ndio upeo wako wa kufikiri ulipoisha hapo
Hapa tunamzungumzia Malema na Lissu wewe unaleta habari za vijiweni nenda kwa Mange huko mpo wengi tu
Wewe mbwa kwenye andiko lako mbowe ameingiaje???Na wakati linahusu malema na lissu??
 
Honorable medem speaker may... Honorable Malema seat down or am gonna shut ur mic... Ahh chawuke bana ulaba poso ilaba poso man from North West..He must answer the question.....
Hahahaha
Sasa wananifurahishaga wakianza fujo
Malema
Shibambu
Na Ndlozi.

EFF wanafaa wabaki kama walivo
 
Huyu hawezi kuwa kiongozi kwani ni mkali kumshinda magufui, huyo anafunga hata NZII watakaotuwa kwenye chakula au mwili wake. Anapendeza mahakamani na umahamasishaji.

Not a leader at all.
Kuna tofauti kati ya ukali na ukatili
 
Back
Top Bottom