Ramani za Nyumba za Kitanzania Zinazotumia BATI CHACHE ( 60 - 65 ) na TOFALI CHACHE ( 1400 - 2200 )!

Drimhomz

Senior Member
Nov 30, 2016
120
80
+255 657 685 268 WhatsApp!

Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!


1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na mini stoo,
Choo na Bafu,
Veranda ya jikoni na sebureni

+255 657 685 268 WhatsApp!
IMG-20170420-WA0007.jpeg
 
Kwa huu unafuu wa simenti ya ndagote,bora nimwage zege juu na kuachia uwezekano wa watoto kupandisha ghorofa miaka ya mbele
 
Kwenye ujenzi gharama hazipo ktk bati na tofali, zipo kwenye finishing yaani kinachofuata baada ya kuweka tofali na bati.

Kweli mkuu hapo ndo kuna kichefuchefu. Vikorokoro vya laki5 vya plumbing viduchu hata kirikou /buti ya gari binafsi vinakaa. Ukija rangi na tiles fomica ndo utakoma na ujenzi.

Simenti tofali mabati sio ishu sana.
 
Back
Top Bottom