Ramani ya Nyumba

Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga

hata ukisema hivyo unafikiri watu watakasirika wakuonyeshe nyumba zao? kila mtu angechukua cha bure kama ingekuwa rahisi hivyo. ushaambiwa kuna mtu ubungo mataa, buku mbili tu una ramani, hata hiyo pia hutaki! sasa utajengaje?
 
Mkuu mbona unahasira sana samahani kama nilikukuna ila ucharibu mada wenye myoyo ya upendo wameshaanza ku2pia ma ww kama vp 2pia ya mwenye nyumba wako
 
hata ukisema hivyo unafikiri watu watakasirika wakuonyeshe nyumba zao? kila mtu angechukua cha bure kama ingekuwa rahisi hivyo. ushaambiwa kuna mtu ubungo mataa, buku mbili tu una ramani, hata hiyo pia hutaki! sasa utajengaje?
kukaa na kubrowse JF ni zaidi ya buku mbili !!:whistle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…