Ramani ya Nyumba

Ninayo michoro ya kutosha na size tofauti, kama kweli ni muhitaji tuwasiliane PM for more information, siwezi kuiweka hapa kwani ipo katika vitabu. Utachagua uipendayo


MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!

Eheee ww ndo muungwana naku chek sshivi
 
Hii vipi mkuu,
Kwa hii hapa nyumba ya bei nafuu kabisa inajengeka
 

Attachments

  • RAMANI YA NYUMBA.jpg
    34.5 KB · Views: 617
Jamani tuendelee ku2pia kuna Shukrani za heshima/upendo kwa wale wote walo2pia raman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…