mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
-
- #41
wapi weeeyeee. Hakuna kitu hapa
Acha maroho mabaya we ushatumia vingap
Sihitaji dezo ya mtu!! Nyumba zangu zote ni ramani tofauti na zote nililipia hela!!!! Hata banda la kuku nachora kitaalam!! Division of Labour!!! Unalialia hapa mbona hakuna aliyekupa ramani ya nyumba yake!!!???
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Kweli JF ni zaidi ya social netiweki....Kaka yawezekana ww ndo hujaelewa me nahitaji nyumba yangu iwe imepata mchango ktk jf we weka ramani 2 acha mambo mengi au hujajenga?
Hebu ingia kwenye google na tafuta hii kitu: www.indianhomedesign.com au www.keralahousedesign.com ukikosa ramani nzuri ya nyumba hapa labda umelogwaMwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Mbona unaanza kutukana?Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga
Endelea kuwa mvumilivu!
Kweli wewe ni MTU GANI !!!!
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
pole...tujifunze kujitegemea jamani vya bure mpaka lini.. I wish ungeulizia hata someone who is affordable to do for you. sasa kama hela unayo yaramani inakushida... acha hizo. Cheap is always expensive another thing is.....unajua ramani ya nyumba is something so specific for a particular person...sio tu umeona jirani amejenga na wewe unataka kama ya jirani. use your common sense. nenda ka google utapata idea ya kitu gani unataka then mtafute mchoraji ...la hasha take sometime and cre
JANGA LA KITAIFA HILI, WATU HAWA VALUE PROFESHEN! UNAWEZA KUPATA RAMAN NZURI HAPA UKAJENGA UKASHINDWA KUISHI KWA RAHA! MTAFUTE MTAALAMU MKAE NAYE AJUE TASTE NA MAHITAJI YAKO AKUTENGENEZEE YA KWAKO!
kuna case huwa zinatokea watu huwa wanasingizia nyumba zina mashetani au majinamizi kumbe wamekurupuka wamejenga bila utaalam, eg hewa haizunguki ndani!
miaka mitano si mchezo, tunajifunza mengi mno! tafuta mtaalam akushauri, nzuri niliyojenga mm imetokana na site na mahitaj yangu itakub