stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,237
Sebule sio seble.Ramani ya kupangisha
Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo
Chumba 1 self
Chumba 1 havina choo
Seble
Jiko
Choo cha wageni
Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima)
Vyumba vyake ukubwa ni standards
Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji huu nichek whatsapp 0743 257 669
Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
Njoo nikupe kiramani kwa ghalama naafuuView attachment 3312803View attachment 3312799View attachment 3312801wa.me//255743257669
Muhasibu inamaana haukumpata fundi sahihi mpaka ivuje?Daah hii kitu ungeileta kabla sijaweka lile contemporary la kuvuja ingenisaidia sana. Ningepaua kama hivi.
Ila kuna siku nikiamka vibaya nitafumua nipaue hivi tu
Acha tu ndugu yangu. Yameshafanyika makosa, kwanza hata muonekano tu ni mbaya maana nyumba ni kubwa 2 in 1 kama hii.Muhasibu inamaana haukumpata fundi sahihi mpaka ivuje?
kwani ulipauaje mkuuDaah hii kitu ungeileta kabla sijaweka lile contemporary la kuvuja ingenisaidia sana. Ningepaua kama hivi.
Ila kuna siku nikiamka vibaya nitafumua nipaue hivi tu
Si wanasema bora alaf gauge 30 kuliko makampuni mengine?Acha tu ndugu yangu. Yameshafanyika makosa, kwanza hata muonekano tu ni mbaya maana nyumba ni kubwa 2 in 1 kama hii.
Nilikuwa misled kupunguza gharama matokeo yake ndio haya. Halafu yule fundi alivyo msenge tumetumia ALAF gauge 30 migongo mipana.
Contemporarykwani ulipauaje mkuu
Hahha vile nyumba inakaa kama kaboxContemporary
Hv hz nyumba ni mafundi au ni nini?Daah hii kitu ungeileta kabla sijaweka lile contemporary la kuvuja ingenisaidia sana. Ningepaua kama hivi.
Ila kuna siku nikiamka vibaya nitafumua nipaue hivi tu
Athari za kuokota mafundi maiko. Hizi nyumba zina mafundi wake ambapo wanazingatia ubora na sio kukwepesha gharamaHv hz nyumba ni mafundi au ni nini?
Tatizo sio ALAF tatizo ni fundi wa kupauaSi wanasema bora alaf gauge 30 kuliko makampuni mengine?
Pole mkuuAthari za kuokota mafundi maiko. Hizi nyumba zina mafundi wake ambapo wanazingatia ubora na sio kukwepesha gharama
Kijijini hiyo unapangisha mabachela tyuuup. Haki ya nani kuna eneo moja lipo mjini kati nimejenga kama mabehewa ya ESIJIARA baada ya kuona wenyeji hawaelewekiVipi kuhusu sisi wa kujenga vyumba 30 single, nyumba unakua kama treni 😂
Yaaani ukijenga ya ivo unakamata wanachuo wote maana wanapenda sana nyumba za ivoKijijini hiyo unapangisha mabachela tyuuup. Haki ya nani kuna eneo moja lipo mjini kati nimejenga kama mabehewa ya ESIJIARA baada ya kuona wenyeji hawaeleweki