Umewaza kama mimi mkuuChadema watapinga
Heeh! Chadema tena, hii terminal si walisema itahamishiwa Mbezi?Chadema watapinga
siyo TLP au TADEA ndio watakaopinga?Chadema watapinga
Duh, tuna safari ndefu sana wabongo! Hivi ukiwa na mpango wa kulima nyanya, huwezi badilisha mpango huo na kuanza kulima vitunguu??Heeh! Chadema tena, hii terminal si walisema itahamishiwa Mbezi?
Hata bilinganya unalima tu wala hakuna tatizo. Kama binadamu wanabadilisha matumizi ya maungo itakua terminal?Duh, tuna safari ndefu sana wabongo! Hivi ukiwa na mpango wa kulima nyanya, huwezi badilisha mpango huo na kuanza kulima vitunguu??
Mwanzoni nilijua bufee haya macho banaHii ramani chini ni mchoro wa jengo jipya ambalo litajengwa ilipo sasa stendi ya mabasi ya mkoani ubungo,kampuni ya kichina kama kawqida imeandaa huu mchoro na itajenga ilo jengo
Source ya habarii yako mkuu please[/QUOTEsource ni mimi mwenyewe baada ya kuonana na wahusika ambao wameandaa hii ramani. Hii ramani ni robot mashine.Ukitaka kwenda kuiona ipo pale katika jengo la ubungo plaza wameiweka ile sehemu ya kuingia kwenye lifti.Ukiingia utakutana na wahusika wa huu mradi Unaruhusiwa kuuliza maswali pia wanakaribisha maombi ya wale wanaoitaji kuasanifiwa ofisi au majengo yao.Ukienda pale utasitaajabu jinsi wachina walivyopiga hatua kwenye upande wa sayansi wametuacha mbali sana.