Ramani ya jengo jipya ubungo terminal bus

Ramani ya jengo jipya ubungo terminal bus

Nye watu bana wababaishaji sana. Juzi tu mlituletea michoro kwamba kutakuwa center kubwa ya Biashara Afrika .. Sijui watu watatoka Nairobi, Kigali, Bujumbura kuja kununua hapo.. leo vipi tena?
Nenda katika jengo la ubungo plaza ukashuhudie mwenyewe,picha nimepiga na simu ya Itel
 
Ina cost shingapi ? Na itakamilika lini ?
 
Back
Top Bottom