Soma ramani vizuri. Usingepindishwa pale Kilimanjaro Mombasa na Lamu yote ingekuwa Tanganyika!Mkataba wa Germany na UK ndio utafuatwa ikiwa hili tatizo lita malizwa kwa njia ya amani. La sivyo Kenya pia watakua na haki ya kudai mlima Kilimanjaro sababu ukiona mpaka umepindishwa ki makusudi kuuweka mlima ndani ya Tanganyika