• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Waziri Maiga shughulikia haraka: Ubalozi wa Ujerumani nchini kubandika ukutani Ramani ya Tanzania inayoonyesha Ziwa Nyasa liko Malawi.

Daimler

Daimler

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Messages
557
Points
1,000
Daimler

Daimler

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2018
557 1,000
1846428_IMG_8318.jpg


1846426_IMG_8316.jpg


Ubalozi wa Ujerumani nchini, umebandika ukutani, Ramani ya Tanzania inayoonyesha Ziwa Nyasa likiwa ndani ya Mipaka ya Malawi badala ya Mpaka wa Tanzania na Malawi kuwa katikati ya Ziwa.
Ujerumani ndiyo Mtawala wa kwanza wa Tanzania, kipindi hicho ikiitwa German East Africa (DOAG), kupitia Mkataba wa 1886 (Anglo-German Agreement) ulioweka Mipaka ya ukanda wa Pwani na Kenya, kabla ya Mkataba wa 1890 (Helgoland Treaty) kumalizia kuweka mipaka ya Uganda, DRC, Zambia (Rhodesia), Malawi (Nyasaland) na Msumbiji (Mozambique). Heligoland Treaty ndiyo ililiweka Ziwa Nyasa kwa Wamalawi.
Hata hivyo, baada ya Waingereza kuiweka Tanganyika Territory chini ya Mandate, alijikuta akitawala Malawi na Tanganyika na hapo ndipo walipobadili Mpaka na kuuweka katikati ya Ziwa Nyasa.
1846435_IMG_8322.jpg
1846436_IMG_8323.jpg


Anyway, siko hapa kurefusha mada hii, muhimu ni lazima marafiki wa Tanzania, i.e. wote wenye Ubalozi hapa Tanzania, wahakikishe Ramani zinazoonekana kwenye Ofisi zao ni zile zinazotolewa ama kukubaliwa na Tanzania na si mwingine yeyote.
So, Waziri wa Mambo ya Nje, Augustine Mahiga shughulikia haraka suala hilo.

https://cdn.auckland.ac.nz/assets/humanrights/Research/MalawiTanzania-NZCHRLPP-final.pdf

1846425_IMG_8314.png

Ramani ya Tanzania.
 
Lutandagula

Lutandagula

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2018
Messages
667
Points
1,000
Lutandagula

Lutandagula

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2018
667 1,000
Ngoja waje wajuz wa mambo
 
serengo

serengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Messages
467
Points
500
serengo

serengo

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2013
467 500
View attachment 866818

View attachment 866815

Ubalozi wa Ujerumani nchini, umebandika ukutani, Ramani ya Tanzania inayoonyesha Ziwa Nyasa likiwa ndani ya Mipaka ya Malawi badala ya Mpaka wa Tanzania na Malawi kuwa katikati ya Ziwa.
Ujerumani ndiyo Mtawala wa kwanza wa Tanzania, kipindi hicho ikiitwa German East Africa (DOAG), kupitia Mkataba wa 1886 (Anglo-German Agreement) ulioweka Mipaka ya ukanda wa Pwani na Kenya, kabla ya Mkataba wa 1890 (Helgoland Treaty) kumalizia kuweka mipaka ya Uganda, DRC, Zambia (Rhodesia), Malawi (Nyasaland) na Msumbiji (Mozambique). Helgoland Treaty ndiyo ililiweka Ziwa Nyasa kwa Wamalawi.
Hata hivyo, baada ya Waingereza kuiweka Tanganyika Territory chini ya Trusteeship, alijikuta akitawala Malawi na Tanganyika na hapo ndipo walipobadili Mpaka na kuuweka katikati ya Ziwa Nyasa.
View attachment 866825 View attachment 866826

Anyway, siko hapa kurefusha mada hii, muhimu ni lazima marafiki wa Tanzania, i.e. wote wenye Ubalozi hapa Tanzania, wahakikishe Ramani zinazoonekana kwenye Ofisi zao ni zile zinazotolewa ama kukubaliwa na Tanzania na si mwingine yeyote.
So, Waziri wa Mambo ya Nje, Augustine Maiga shughulikia haraka suala hilo.

https://cdn.auckland.ac.nz/assets/humanrights/Research/MalawiTanzania-NZCHRLPP-final.pdf

View attachment 866814
Ramani ya Tanzania.
kama wajeruman waliweka mipaka na kuonyesha ziwa liko Malawi na waingereza nao wa
kaonyesha ziwa liko upande wa Tanganyika Basi wenye maamuzi ya kuamua ziwa LA nani ni wajerumani au waingereza, wakae waamue nani mumiliki halali wa ziwa Nyasa/Malawi.
 
Daimler

Daimler

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Messages
557
Points
1,000
Daimler

Daimler

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2018
557 1,000
Majungu mengine ya kimaku mnamchukia possible hapo mnaanza kuleta fitna mbona makubwa kama ya jiwe anavovunja katiba na kunyayasa watu hamusemi shut hole
Wewe si Mtanzania naona unawashwawashwa. Oohh no, hapo ndo kipimo cha elimu yako. Unalinganisha demokrasia (mambo ya ndani) na national interest? Elimu yako ni duni sana kulinganisha hivi vitu viwili. Halafu itokee Malawi atuvamie utaenda kupigana kweli? Mtataka Tanzania ishindwe kwa kuwa kuna mtawala hamumtaki? You're a failure.
 
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,064
Points
2,000
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,064 2,000
Petty issues.
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
9,581
Points
2,000
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
9,581 2,000
Wewe si Mtanzania naona unawashwawashwa. Oohh no, hapo ndo kipimo cha elimu yako. Unalinganisha demokrasia (mambo ya ndani) na national interest? Elimu yako ni duni sana kulinganisha hivi vitu viwili. Halafu itokee Malawi atuvamie utaenda kupigana kweli? Mtataka Tanzania ishindwe kwa kuwa kuna mtawala hamumtaki? You're a failure.
Mnapobagua jambo lipi liongelewe lipi liachwe huwa nashindwa kuwaelewa Lumumba heroes.
 
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
14,249
Points
2,000
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
14,249 2,000
Hili ndo umeona kubwa katika mstakabari wa taifa hili!! Wajerumani watakuwa wanaelewa vizuri mgao ulivyokwenda, ungewauliza kwanza kabla ya kuleta huku
 
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
2,223
Points
2,000
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
2,223 2,000
Ccm na mambo mengine mngekuwa mnachunguza hivi watu wasiojulikana wangekuwa washakamatwa.Yaani umezoom ,umetafuta reference weee.asante.Na mambo ya muhimu kwa mustakabali wa nchi muwe mnazoom hivohivo mnachunguza out of the box
 

Forum statistics

Threads 1,405,220
Members 531,947
Posts 34,481,204
Top