ucwaze mkuu kuna watu huwa wanatuchosha tu kwa mali hewa, sioUnataka na hati Tena🤣 hati ni ya kwangu mkuu wewe itakusaidia Nini Mkuu
Sawa mkuu, ngoja niichunguze vizuri kwanzaKwakuwa ahadi ni deni, ramani hii hapa mkuu
Hii ni nyumba kubwa sana .
4 Bedrooms (mbili Zina choo ndani)
Sebule kubwa sana.
Jiko na stoo yake.
Dinning room
Choo Cha ndani cha Public.
Choo Cha nje sijakiweka hapo, unaweza kukiweka Chini ya Mnara wa Tenki la maji.
Vyumba vya nje vinapatika Kwa ukubwa wa eneo lako.
K Kuchora ramani inahitaji muda.
Hii nimejaribu kuchora kwa maelezo Yako uliyotoa.
Ikiwa haujaipenda na uko seriously naweza kutulia zaidi na kuandaa kitu Kwa namna Yako.
Karibu.!
View attachment 3491298

Sawa mkuu, karibuSawa mkuu, ngoja niichunguze vizuri kwanza