oel200e
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 276
- 119
Katika kuendelea kusambaa kwa teknolojia nchini kwetu mambo yamekua rahisi zaidi, hasa taarifa za picha. Angalizo langu ni kwa wale ndugu zangu wanaopenda ku-download ramani za nyumba na either kuuza au kumpa fundi wa mtaani ili akujengee "dream house".
Binafsi nafikiri kuna umuhimu wa lazima kumshirikisha mtaalamu wa ramani, kwani uzuri wa nyumba sio tu muonekano bali pia iweze kukupa starehe kimazingira hasa ndani kwa kuzingatia muingiliano wa nafasi na mwisho gharama inayoheshimu udhubuti na kipato chako.
Kumbuka tunajenga nyumba ambazo hukaa zaidi ya miaka 100..ukikosea kosa litabaki milele.Tujifunze kuwashirikisha wataalamu wetu,wenye kuelewa hasa muundo wa nyumba.
Ni hayo tu!