Ramadhan karim

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Usiku mwema kwa wenzangu walalao sahizi.karibuni tule daku wenye imani kama yangu.namalizia kwa kusema.NAWAPENDA WOTE
 
Dahhhhh
Ni mwisho wa dunia
Au ni wakati ndugu kupatana..
We kila siku fujo jikoni leo u miss me ..
Nakuja kwa msosi jioni pika kande na
Mchuzi basi .. :)

Afro Mpalestina apike kande? sijui labda mambo ya kukaa mjini na wapare na wairaqw pengine darasa laweza kufanya kazi otherwise mh labda ndizi nyama!!
 
<span style="font-family: comic sans ms">Afro Mpalestina apike kande? sijui labda mambo ya kukaa mjini na wapare na wairaqw pengine darasa laweza kufanya kazi otherwise mh labda ndizi nyama!!</span>

Dahhhh
Alisha wahi nipikia tena
Aliweka maharage mengi mmhh
Nani makukuru umeme ulikatika
Hakuweza kukoboa..

Dahhh hivi wa Iraqiw na wa Pare
ndo wataalum wa kande ..skujua.
 
Dahhhh
Alisha wahi nipikia tena
Aliweka maharage mengi mmhh
Nani makukuru umeme ulikatika
Hakuweza kukoboa..

Dahhh hivi wa Iraqiw na wa Pare
ndo wataalum wa kande ..skujua.

Hao jamaa nimeishi nao kwao chakula chao kikuu na cha heshima ni makande..... ni sawa na pilau uswahilini, ugali kwa wazambia (ambao hata kwenye harusi ndo the main dish) na Wasukuma pia, machalari kwa wachaga, ndizi kwa wahaya na Basmati kwa wazanzibari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom