Kwahiyo ina maana zamani RAM ilikuwa tofauti??
Km sio kuna vitu vingi vinaeza sababisha tatizo la simu kuwa slow.Apps nyingi so issue,lbd umeweka games kubwa ht km ni chache wakati memory waijua ni ndogo.Huna Antivirus ya kufuta useless Junks,caches,etc[/QUOTE) Mkuu Old Skuli thanx for ur comment. Kuna mdau aliniambia niweke master cleaner, bt imefanya kazi vizuri kwa siku chache, then tatizo likarudi palepale. Mimi si mtu wa kucheza game mkuu.