GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
- Thread starter
- #81
then wewe ndio enemy kwani you are on his case
Unajua maana ya project cycles?
wewe analyst, unaelewa role kubwa ya anachofanya na sources of funds??
Unajua tofauti kati ya mtu anayefanya project kwenye policy na anayefanya implementation level??
Mkuu wewe kweli unajua unachosema au ndio umetumwa kupima maji ya rajani??
just for faak sake.... unajua impact ya kueleana on number of OVC/MVC in this country??
Unajua haki elimu imeleta mabadiliko makubwa kwenye policy ya elimu especially on governance?
duh...
USHAURI WANGU... YAWEZEKANA UNAMJUA RAKESH KWA NAMNA FULANI LAKINI SO FAR HE HAS BEEN ONE FO THE MOST INFLUENCIAL PEOPLE IN A FEW EDUCATION/YOUTH POLICIES NA TUMSAIDIE KWA CONSTRUCTIVE CONSTRUCTION SIO KAMA ULIVYOIWEKA WEWE
Project Cycle haimaanishi you launch a new project zaidi ya kuphaseout project uliyokuwa nayo na kwenda phase two ukiwa na vision inayocompliment previous project.
Nikiwa enemy kwa kuhoji hili sioni shaka hata kidogo kwani kama alivyo yeye katika project ob policy based naye anakuwa checked na analyst kama G.R.
Unaporeview policy haimaanishi kuwa unaruhusiwa kubuni policy mpya zaidi ya kuonyesha accountability na alternative approaches iatakayowezesha public participation, laikini pia implementation ni sehemu ya mradi wowote nan kwa kiwango gani inategemea na funding.
Lakini pia huu mchezo wa kujidai kuaminika kuliko watanzania wengine na kuwa ati funder lazima akulipe wewe tu katika miradi yako ni dhana nyingine mbovu inayolitafuna taifa. Kwa hiyo akifa Rajani leo ufadhili huo nao umekoma.
Na suala hapa si kuendelea kutembeza Bakuli, lini tutajitosheleza na kuja na mikakati ianayosimamiwa na kuratibiwa na rasilimali za watanzania. huu ndio msingi wa Hoja katika maswali yangu ya msingi pale katika Hitimisho.