Rakesh wa KULEANA – HAKI ELIMU na sasa TWAWEZA ni KIVULI cha nani?

MTM

My vision is about having Rajan for the community as you mentioned, I smelled something fishy behind walls. Despite the good things he has done we have to questions the weak spots which are so to say hazzardous.

Otherwise nakubaliana na wewe na to be honest to GOD sina agenda ya ziada zaidi ya udadisi wa mambo.

Kwa nini na wewe usianzishe NGO yako kutuonyesha inavyotakiwa kuendeshwa instead ya vision yako kumuegemea Rakesh?
 
Mdadisi wa Mambo na Critical analyst

Ok can you explain this scenario pls, Danida walifanya mradi mkubwa sana wa kuzifanyia repairs shule za sekondari za serikali kuanzia katikakati ya miaka ya 80's mpaka 90's. Baada ya hapo wakaenda kwenye miradi ya maji vijijini baada ya hapo wakaingia kwenye kufadhili vitendea kazi kwenye vyuo.

1. Miradi mingi ile ya maji ilikufa na hata ukarabati wa zile shule zimefifia tena. Nini kosa la Danida hapo?

2. Danida kama RJ walikuwa wakiondoka sio tu na ufadhili wa serikali yao ya Denmark bali pia na equiopment na manpower waliyokuwa wakitumia kwenye miradi yao. Nini kosa lao hapo?
 
Hii ni doasari nyingine kwa Taifa hata juzi umesikia wadau wakihoji hadi wabunge wanapata barua ya Jairo na Kuphotocoy Rais hauju wala PM kwa kuwa usalama wa Taifa hawakufanya vema kazi yao.

Na sie tunaendelea kuhoji kwani tunajua hii ni dhamana yao na hawajakiri kushindwa watuambie wapo wapi na haya yanakuwaje kwa masilahi ya Umma

Kinacho niumiza ni kwamba usalama wa Taifa wanatumia mabilioni ya Shiringi kwa kazi hizihizi na ambayo haruhusiwi kukaguliwa matumizi yake.
 
Kinacho niumiza ni kwamba usalama wa Taifa wanatumia mabilioni ya Shiringi kwa kazi hizihizi na ambayo haruhusiwi kukaguliwa matumizi yake.

Usalama wa taifa watupe majina yote ya wabunge waliochukua mlungula wa Jairo, tuwajue. Hapo watakuwa wanafanya kazi ya "usalama wa taifa".
 
Yaani kuondoa adhabu ya viboko kwa watoto Mashuleni unaona kama iliacha maumivu makubwa kwa jamii ya kitanzania??? Umeandika mengi, ila nakosa hamu ya kuendelea baada ya kuona hiyo conclusion yako!! Uuuuhm, pole ndugu. Yaani unahusisha wingi wa mimba na kuondolewa adhabu ya viboko mashuleni?? Umefanya utafiti?? Rakesh huwa anafanya utafiti unaojisimamia wenyewe; lakini hili la kwako mtoa mada limeniacha mdomo wazi!!!
kweli umesema bila kufanya utafiti huna haki ya kusema. Suala la mimba hilo mkuu alikwisha lifanyia utafiti na kulifunga kwamba wanapata mimba kwa sababu ya kiherehere chao tu.
 
Nenda kafanye uchunguzi wako vizuri hii kituo cha KULEANA hakikuanzihswa na Rekesh. Labda kama wao walipewa dili ya kuendela nacho baada ya muazilishi halisi ( Mzungu mmoja) Kundoka.

Huu ubishi wa Kahawa sasa huna hata Google katika Kompyuta yako. Kitue kimenzishwa na Rakesh Rajan na Mustafa Kudrat huyo mzungu unayemtaja alikuwa Mke wa Rukesh na watu wengi walikuwa hawamjui Rukesh kutokana na Mama Huyu kuwa frontliner sana.

Na kwa taarifav yako walianzie kituo eneo ulipo mgahawa wa Kuleana huko Mwanza kabla ya kuhamia barabara ya Balewa. Na moja ya masharti yalikuwa kutokupikwa kwa nyama katika kituo hicho kwa kuwa lilikuwa eneo la mabaniani walilitoa bure kwa Rukesh.

Sikuona sababu ya kuyaandika haya kwa kuwa ni too personal na hayakuwa na msingi katika hoja yangu

Huwa sipost vitu ambavyo sijaresearch Mzee.
 
Ok can you explain this scenario pls, Danida walifanya mradi mkubwa sana wa kuzifanyia repairs shule za sekondari za serikali kuanzia katikakati ya miaka ya 80's mpaka 90's. Baada ya hapo wakaenda kwenye miradi ya maji vijijini baada ya hapo wakaingia kwenye kufadhili vitendea kazi kwenye vyuo.

1. Miradi mingi ile ya maji ilikufa na hata ukarabati wa zile shule zimefifia tena. Nini kosa la Danida hapo?

2. Danida kama RJ walikuwa wakiondoka sio tu na ufadhili wa serikali yao ya Denmark bali pia na equiopment na manpower waliyokuwa wakitumia kwenye miradi yao. Nini kosa lao hapo?

Naogopa kuwazungumzia DANIDA kwa sasa sina data yoyote
 
Only in Tanzania kumsikia mtu analaumu kwa wananchi kupewa uelewa kuwa waikabe serikali !
 
kweli umesema bila kufanya utafiti huna haki ya kusema. Suala la mimba hilo mkuu alikwisha lifanyia utafiti na kulifunga kwamba wanapata mimba kwa sababu ya kiherehere chao tu.

This would have been funny if it wasn't too serious for a burlesque slapstick.

Rohombaya ur just ridic !
 
Only in Tanzania kumsikia mtu analaumu kwa wananchi kupewa uelewa kuwa waikabe serikali !

Duh naona hatuelewani...Hakuna Malalamikom hapa ni angalizo na uatazame upende wa pili wa sarafu si kila ukipewa pipi uhoji kwa nini umenipa kwa kuwa tamu tu???
 
So far this is what I can say.

This thread is based on innuendo and lacks a foundation in factual details.
 
Ukishaongelea fedha za watu (wafadhili) unaongelea fedha ambazo huwezi kuwapangia watu jinsi ya kuzitumia.

Warren Buffet ana mihela kibao, kaigawa karibu yote, lakini yeye anajijua kazi ya philanthropy haiwezi, kaangalia nani anamuamini, kamuona Bill Gates, kampa mihela kibao Bill Gates, kamwambia endeleza philanthropy.

Sasa inawezekana hawa wafadhili hawaamini uongozi wa hii mipango, wanamuamini mtu wao Rakesh.

Kwamba hawa wafadhili wanamkubali Rakesh katika chochote anachofanya inaonyesha labda ni kwa sababu Rakesh anaaminika sana kwao.

Haandiki andiko lolote kama Rakesh, anawajumuisha watanzania kuwa atawahudumia katika mipango anayokusudia kama ni public awareness au dropping centre kama ilivyokuwa Kuleana
 
Haandiki andiko lolote kama Rakesh, anawajumuisha watanzania kuwa atawahudumia katika mipango anayokusudia kama ni public awareness au dropping centre kama ilivyokuwa Kuleana

Haandiki lolote kwa hao donors?
 
Haandiki andiko lolote kama Rakesh, anawajumuisha watanzania kuwa atawahudumia katika mipango anayokusudia kama ni public awareness au dropping centre kama ilivyokuwa Kuleana

So what?

Mimi hapa kama nina hela zangu, nataka kusaidia Watanzania maskini, najua serikali ya Tanzania corrupt, NGO karibu zote corrupt, lakini kuna mtu mmoja nishamuona yuko serious, anaitwa Rakesh, nikiamua fedha zangu za msaada kusaidia Watanzania nitoe kwa organization yoyote atakayofanya kazi Rakesh, kuna tatizo gani?

Is this the bone of contention?

Mnampiga vita Rakesh kwa sababu yeye anapata wafadhili zaidi?

Is this some stupid food fight dressed as some patriotic McCarthy-like witchhunt ?
 
Back
Top Bottom