Raisi wetu ndivyo alivyo,haigizi! Tumzoee

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
Nimemsikiliza akiongea huko pwani ni yale yale!! ana misimamo na tunapaswa kujitafakari kama taifa.

Kuna wale wanaotetea wanafunzi waliopata mimba. amewaambia ni WAPUMBAVU.
Misimamo hii inasaidia ingawaje kuna mingine inaumiza

Binafsi namuunga mkono raisi ila kwa hivi NOOO! Ajirekebishe na kila mtanzania atampenda.

1.Kusema utausambaratisha upinzani huku ambayo unatenda ni matokeo ya kelele na jitihada za upinzani ni kutuonesha kuwa unafanya tu ili kujijengea sifa na si kulikomboa taifa. USIWATENGE NA KUWAONA HAWAFAI WAKATI WAMEKUPA AJENDA AMBAZO HUKUWA NAZO

2. Kunampasuko bungeni na yanayofanyika kupitia wateule wako yanaonesha kuleta mpasuko si wa kisiasa tu, hata kijamii. wapinzani wanaonekana maadui na si binadam wenzako kbsa. mh raisi unajisikiaje mtoto wa mzazi mwenzako anavyotekwa na kupotea?? onesha hofu ya mungu kwa kumjali mzazi mwenzako mzee focus na wengineo. kina mawazo nk ambao wameacha yatima. ona ni kama watoto wako na ukemee tabia km hizi zinazofanywa na wateule wako.

3.Mimi niliyekuchagua nina haki sawa na aliyechagua mpinzani. hawana kosa kwani wabunge wa chama chako waliuza sera na haikuwa lazima wakubalike. kosa ni chama cha mapinduzi kushindwa kuchakata karata zake vizuri. usiwachukie mheshimiwa Rais hata ukaona bunge linatofautiana kwa kupendekeza fedha kutopelekwa kwa wabunge hao

4. Ziara zako zinaonekana kuwa na sura ya kisiasa. kumruhusu polepole kufanya shughuli za kisiasa katika mikutano yako huku wapinzan wakinyimwa si jema. waruhusu wote,nasi tuwaone wapinzani wakinadi sera zao.

Zaidi hawa wanaojitokeza kuhamia chamani au kulalamika mbn kama wanapangwa. watu niliokuwa nao leo wakati tunafuatilia waliibua hoja hadi nikajikuta nashangaa. wanauliza eti wale askari magereza walijiuliza mbona wamekuja na ramani? walijua kama wale kina mama watakuja kulalamikia pale? Naomba wanaoratibu haya wawemakini mh Raisi

ASANTE NA HONGERA KWA KAZI
 
Wanasema eti Tanzania imejaa rushwa na kila aina ya uchafu,so tulihitaji Mkuu kama huyu.
 
Pole sana Mama Janet, natambua sana mzigo mkubwa uliobeba. Maana kama raia/mti mbichi umeweza kutendewa hivi, vipi kuhusu wewe/mti mkavu?
Naombeni sana sana wanawake wa Tanzania, waige na kubeba uvumilivu ulionao......
 
Nimemsikiliza akiongea huko pwani ni yale yale!! ana misimamo na tunapaswa kujitafakari kama taifa.

Kuna wale wanaotetea wanafunzi waliopata mimba. amewaambia ni WAPUMBAVU.
Misimamo hii inasaidia ingawaje kuna mingine inaumiza

binafsi namuunga mkono raisi ila kwa hivi NOOO! Ajirekebishe na kila mtanzania atampenda.

1.kusema utausambaratisha upinzani huku ambayo unatenda ni matokeo ya kelele na jitihada za upinzani ni kutuonesha kuwa unafanya tu ili kujijengea sifa na si kulikomboa taifa. USIWATENGE NA KUWAONA HAWAFAI WAKATI WAMEKUPA AJENDA AMBAZO HUKUWA NAZO

2. Kunampasuko bungeni na yanayofanyika kupitia wateule wako yanaonesha kuleta mpasuko si wa kisiasa tu, hata kijamii. wapinzani wanaonekana maadui na si binadam wenzako kbsa. mh raisi unajisikiaje mtoto wa mzazi mwenzako anavyotekwa na kupotea?? onesha hofu ya mungu kwa kumjali mzazi mwenzako mzee focus na wengineo. kina mawazo nk ambao wameacha yatima. ona ni kama watoto wako na ukemee tabia km hizi zinazofanywa na wateule wako.

3. mimi niliyekuchagua nina haki sawa na aliyechagua mpinzani. hawana kosa kwani wabunge wa chama chako waliuza sera na haikuwa lazima wakubalike. kosa ni chama cha mapinduzi kushindwa kuchakata karata zake vizuri. usiwachukie mheshimiwa Rais hata ukaona bunge linatofautiana kwa kupendekeza fedha kutopelekwa kwa wabunge hao

4. Ziara zako zinaonekana kuwa na sura ya kisiasa. kumruhusu polepole kufanya shughuli za kisiasa katika mikutano yako huku wapinzan wakinyimwa si jema. waruhusu wote,nasi tuwaone wapinzani wakinadi sera zao.

Zaidi hawa wanaojitokeza kuhamia chamani au kulalamika mbn kama wanapangwa. watu niliokuwa nao leo wakati tunafuatilia waliibua hoja hadi nikajikuta nashangaa. wanauliza eti wale askari magereza walijiuliza mbona wamekuja na ramani? walijua kama wale kina mama watakuja kulalamikia pale? Naomba wanaoratibu haya wawemakini mh Raisi

ASANTE NA HONGERA KWA KAZI
Wapinzani ni kulia tuuuuu,anzeni kujisahihisha kwanza wenyewe
 
Kwa mtazamo wng hyu ndio rais dhaifu zaid kuliko watanguliz wake wooote hvyo wapinzan wakizichanga karata zao vizr kabisa 2020 ushind asubuh na mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom