Raisi Obama afuta aibu ya mkewe

Raisi Obama afuta aibu ya mkewe

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
56
Ni baada ya upepo kutaka kupeperusha vazi alilokua amelivaa hivyo akaamua kuizuia watu wasione akimwaga radhi.
 

Attachments

  • 1397387372702.jpg
    1397387372702.jpg
    32.1 KB · Views: 1,289
...mume mwema hupata mke mwema,vice versa is true.ceteris peribus....
 
Ni baada ya upepo kutaka kupeperusha vazi alilokua amelivaa hivyo akaamua kuizuia watu wasione akimwaga radhi.

Nimesahau mwaka, The picture of the year imewahi kuwa picha a Malkia Elizabeth, sketi yake ilipeperushwa ikamuacha wazi
 
Aache watu waone vyombo hivo..afu anapenda penda kukaa nyuma huyu mzee.mhhhh
 
hapo ndo majukumu ya mume yanapoonekana, kuwa yuko makini sana, mambo ya ndani eti waone dunia yote, hongera Raisi wa Dunia kwa kuujali utu wa mkeo
 
Waaau safi sana
Anajua wajibu wake.
Hawez kuacha mkewe apate aibu
 
chakula ya mukubwa sio vizuri kuwa exposed
 
Kumbe na wwe ndo walewale mnaojidai mmestaarabika kwa kutembea uchi
 
Back
Top Bottom