Raisi mwenye madaraka makubwa duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi mwenye madaraka makubwa duniani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dengeru, Oct 5, 2009.

 1. dengeru

  dengeru Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni raisi wa tanzania kikwete ambae anamadaraka makubwa kulio raisi yoyote duniani,hii ni kwamba kama raisi atakuwa mjinga basi wote tutakuwa wajinga maana atachagua wajinga kama tunavyojionea kwenye serikali yetu.ili uchaguliwe haitegemei competency yako inategema unaiva vipi na raisi,kama unavyoona kwa baadhi ya mawaziri kama akina hawa ghasia,sofia simba,
  1.anateua waziri mkuu
  2.anateua mawaziri
  3.anateua jaji mkuu na majaji
  4.anateua makatibu wakuu
  5.anateua mkuu wa takukuru
  6.anateua wakuu wa mikoa
  7.anateua makamishna wa wizara,tume...
  8.anateua mkuu wa majeshi
  9.anateua mkuu wa polisi
  10.anateua mwanasheria mkuu
  na weingine nimesahau,nchi za wenzetu wenye demokrasia ya kweli hizo nafasi lazima ugombee na competency yako ndo inayokupa cheo...
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Wakuu wa wilaya
  Kamishna wa magereza
  Wabunge 10
  Katibu mkuu wa CCM
  Gavana wa benki kuu
  Wakuu wa mashirika ya Umma
  Kamishna wa TRA

  Na mimi nimesahau na wengine wataendelea
   
 3. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu wa Vyuo vikuu vy Umma
  Mabalozi
  Mkurugenzi wa usalama wa Taifa
  Na mie nimesahau
   
Loading...