Raisi mtarajiwa

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Strauus-khan ndiye aliyekuwa na sidhani kama amefuta uamuzi wa yeye kuwa miongoni mwa wagombe kiti cha uraisi wa ufaransa.japo nafasi ya ukuu katika kuongoza bank ya imf alijiuzulu kutokana na kashfa ya ngono.hapa anaonekana akiwa na chambo kilimbadilishia mambo mengi kwa dakika ishirini tu.
 

Attachments

  • STRAUUS-KHAN&NAFISSATOU.jpg
    5.6 KB · Views: 116
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…