Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kwanza niwaonye CHADEMA mnachekelea lakini ukweli ni kwamba vumbi likishatulia, hata huko ukawa watawavuruga pia, msijidanganye kama mnaweza kuungana na kufanya kazi kwa pamoja na the likes of Nape, Zito, Bashe & Co.!
Hawa ni watu ambao maisha yao ni Uongo, Unafiki na Fitina, hakuna kingine wanajua, wamejenga careers hivyo na hawawezi kubadilika hivyo wachekeeni lkn mjiandae pia kuvurugwa kabla ya Uchaguzi!
Wema Sepetu yuko katimkia CHADEMA, na Nape anamfuata pamoja na wasanii wengine hivyo waliyoyafanya CCM watayafanya huko pia na muda sio mrefu mtarudi hapa hapa JF kuanza kulia tena kwamba mnaibiwa kura, kumbukeni hawa watu hakuna kitu wanajua, ni watu wavivu na huishi kwa udanganyifu!
Nirudi kwa Raisi na Mwenyekiti wa CCM tafadhali Raisi drain the swamp kwa kutumia msemo wa USA, maana yake ni kwamba kukausha maji ya dimbwi ili kuuwa Mbu wanaoleta Malaria!
Ukweli ni kwamba nje ya Serikali na CCM hawa watu siyo kitu labda kama ni Mabilionea na Utajiri wao uko nje ya nchi, Raisi wewe ni Mkuu wa Serikali na Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama usisite nje ya CCM hakuna kitu watafanya, hivyo drain the swamp, ...