Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

Naona unamu-underestimate sana Magufuli.. the guy can speak English. Usije na story za mtaani huku huna proof.


Nimefanya kazi na Mh;Magufuri kutengeneza barabara ya kibiti hadi na kila akitaka kuongea na wale wachina inakuwa ngumu hadi tulikuwa tunamsaidia maneno mengine mf.way house's na mambo mengi.



swissme
 
Watz kwa kulalamika hatujambo,fulani mlimwita vasco huyu haendi mnasema hajui english,sasa mpewe nini jamani? Tuwe na mioyo ya shukrani hata kwa kidogo tunachotendewa

Mkuu umenena yaani sijui jema lipi wafanyiwe akienda shida......asipo enda shida duuu
 
English sio issue yy ni rais wawatz ambapo lugha yetu kiswahili, sasa tunamcheka mtu anaejua lugha yetu kwa ufasaha tuache iyo.
 
Kama anaenda kusikiliza na sio sehemu ya watoa mada kheri kutuma muwakilishi.
Ivi mnaosema hajui English MBA na PHD thesis alidefend VIP?Achen zarau za kipuuzi pia kumbuka ni mseminari uyo tukimaliza form one tuu wewe full English.
 
Wale hata wakienda wote uchumi wao uko juu na huwa wakirudi na wanatimiza .na kiingereza wanaongea.back to home mkuu lugha pwaaaa.the the the what is.


Swissme

Swisme acha hizo bana mie ukawa damu huyu Dr Magufuli tumpe sapoti afumue mfumo wote mbovu uliojijenga ili siku moja tuje tufaidi maisha ya nchi pamoja tutashinda .
 
Kama anaenda kusikiliza na sio sehemu ya watoa mada kheri kutuma muwakilishi.
Ivi mnaosema hajui English MBA na PHD thesis alidefend VIP?Achen zarau za kipuuzi pia kumbuka ni mseminari uyo tukimaliza form one tuu wewe full English.

unajua walidhani kasoma zile seminary za kikanjanja kama za
kina Vibandiko ....JPM namwaga yai la kutakata mpaka unaomba poo.
 
Nimefanya kazi na Mh;Magufuri kutengeneza barabara ya kibiti hadi na kila akitaka kuongea na wale wachina inakuwa ngumu hadi tulikuwa tunamsaidia maneno mengine mf.way house's na mambo mengi.

swissme

Kwa hiyo unataka tuamini statement yako? Who are you again?? Ohh unatumia nickname, anyone is free to say anything behind the keyboard, hua tunawaita keyboard warriors.

Go find videos of the guy speaking English utulie.
 
safi sana, anapaswa ahakikishe hakutani na hao watu wa uropa watamharibu.
 
Lugha ni tatizo.



swissme

Kwani raisi wa Ufaransa huwa anatumia lugha gani anapozungumza kwenye mikutano?

Au unataka kusema maraisi wengine wa kutoka Afrika nao wanazungumza kifaransa?

Hao wachina mliokuwa mkikutana nao Tanzania wanazungumza kwa lugha gani Kichina au Kiswahili au Kiingereza?

Jaribu kuwa mwangalifu sana unapotoa kauli.

Labda useme unatania utaeleweka.
 
Climate change my #@#%& wanachafua hewa duniani halafu wanatuita tushiriki hata nchi masikini wote wakigoma viwanda vitakuwepo tu na dampo la sumu ni kwetu.
Nchi maskini duniani wanaomba ifike 1.5C target.

Hiyo $100b wanayotaka kutoa kufikia malengo hayo itatusaidia nini wakati tunakufa kwa hewa chafu wanayoiharibu wao.
Wiki mbili mkutano tutaangalia kwenye TV wala asiende
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom