Raisi Kikwete huyooo Paris

Nimeshajua ratiba zake,anasafiri nje hata mwezi,akija ni ikulu kuonana na watu wachache then ziara mkoani moja then anapanda tena pipa,huyu jamaa akistaafu ataumwa sana,hataishi mda mrefu,msongo wa mawazo utammaliza,hawezi kutulia kama mkapa

Hajui anachofanya ndo maana hawezi kutulia
 
Ukiona mkweree yuko mikoani ujue anazuga kwani anakuwa ameishapanga safari ya kwenda ng'ambo!!! Mganga wake alimrogea kwenye pipa ndio maana haishi kulikwea!!!!
 
Anaenda kunywa kawaini kidogo, kupima uzito, shopingi za X-mas pamoja na kuangalia ujenzi wa geto lake umefikia wapi. Tumsubiri atakuja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom