Raisi akamatwa na polisi nyumbani kwake lakini aokolewa na wananchi barabarani

pipikijiti

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
309
406
Ni kati ya stori zinazotrend sana kwenye anga za kimataifa tutatizama kiufupi hapa

Raisi wa zamani wa georgia hon.Mikheil Saakashvili alikamatwa na polisi nchini Ukraine ambapo amekuwa akiishi humo miaka ya sasa
1c4fb0a62f6363386b83332a8be263dc.jpg

0ccd8618c0148c6421d1687d3cef2d96.jpg

Bwana saakashvili anatuhumiwa kusaidia kikundi cha ugaidi nchini humo lakini ifahamike bwana saakashvili amekuwa mkosoaji mkubwa wa raisi sasa wa nchi hiyo
9f2daef09dd22ca16e6e413d3e74878f.jpg

Polisi wajaribu kumuingiza kweenye gari ambapo mamia ya wananchi wakajitokeza kumsaidia na kymuondoa mikoni mwa polisi
7a28251971d40cc886e3c39ec6cc998a.jpg

0a49b3ef20f831d32e5d367c03888e39.jpg

974c6862e4f470609c515409de672e3e.jpg

a3ca9e79f7819ae2b15214672e62731c.jpg

991ce9111bcb277f0c186439dfdb1bcb.jpg

180c99aa4038bb5790326f8c52404edb.jpg
fcc803650d9f9d00b06e6c60b0280a93.jpg

e86bc14c92f53ccbe52c9b60a44556da.jpg

baa41a2b7f5be8fe9b10b10cba3b83ab.jpg

Baada kutoka mikonini mwapolisi akiwa na pingu mkono mmoja
83609b70af987e70072ccafeb98b7488.jpg

89e16f0c39b8bf68b49dc7ea5920228e.jpg

http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/fb2f1abb51427b1890205e85c5b24f79.jpg[/IMG
Akiongea na wananchi na waliomtoa mikononi mwa polisi
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cdba248427d78abff12367a2c85b3d70.jpg
 
Ingekuwa Africa hao raia wangejua expansion joint haijawahi kumwacha mtu salama...
police-stamp_1560148i.jpg

ap_639966958490.jpg
 
Ingekuwa Africa hao raia wangejua expansion joint haijawahi kumwacha mtu salama...
police-stamp_1560148i.jpg

ap_639966958490.jpg
Hiyo picha ya chini inaumiza sana aise duuuh africa polisi wengi wanatumia nguvu nyingi kupita kiasi sijui kwann,,hyo picha inauma sana aise imagine anaepigwa hapo chini ni baba au kaka yako au ndugu yako...inauma sana aise
Yan huyo mtu anaonekana ameshachoka amelala tu lakini polisi ndo anazidi kupiga tu duuh inaumiza sana aise
 
Huyu kiongozi hivi karibuni alikuwa hapa Tanzania kwa ziara hakuonana na Chadema akawafundisha hizo mbinu mpya?
 
Hiyo picha ya chini inaumiza sana aise duuuh africa polisi wengi wanatumia nguvu nyingi kupita kiasi sijui kwann,,hyo picha inauma sana aise imagine anaepigwa hapo chini ni baba au kaka yako au ndugu yako...inauma sana aise
Yan huyo mtu anaonekana ameshachoka amelala tu lakini polisi ndo anazidi kupiga tu duuh inaumiza sana aise
Pole sana mkuu. Ukifikiria sana utakubali somehow yale makundi ya waasi yako sahihi.
 
Back
Top Bottom