Rais

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Rais wetu na matangazo ya biashara! Mfano tangazo la vyandarua. Wadau mnalionaje hili! On my side silikubali mkuu wa kaya, Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini kushiriki kwenye matangazo ya biashara! Haipendezi na wala haistaili kwa nafasi yake, wana jamvi mnalionaje hili?
 
Huyu hadi Clooooouuuuds Efemm wanamtumiaga kwenye matangazo yao..
 
Sema siku hizi Cheo cha urais kimekuwa siyo dili kiviile.. Hata wewe unaweza kuwa Rais ukiamua... Bongo muvi, masharobaro, waganga wa kienyeji, wapiga debe, wabeba maboksi n.k. wote hawa wana marais wao!!
 
Rais wetu na matangazo ya biashara! Mfano tangazo la vyandarua. Wadau mnalionaje hili! On my side silikubali mkuu wa kaya, Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini kushiriki kwenye matangazo ya biashara! Haipendezi na wala haistaili kwa nafasi yake, wana jamvi mnalionaje hili?

Mie pia kuna mtu nilimwambia rais kufanya lile tangazo la net haijakaa sawa.......ila nikwambie kitu KARIA lile tangazo likifanywa na rais shupavu na mkakamavu haina tatizo.....sema rais wetu yeye amelifanya likawa la kihuruma sana!.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom