Rais yoweri Museven akisakata kabumbu kwa ustadi mkubwa

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,236
Rais Yoweli Museveni akisakata kabumbu kwa ustadi mkubwa . Kumbe Mheshimiwa ana zaidi ya kipaji kimoja . Hongera sana kwa kuwa mwanasoka. Viva rais Museveni kwa kujenga afaya yako imara kwa mazoezi kama haya.
 
Attachments

  • mu7.jpg
    mu7.jpg
    54.7 KB · Views: 968
  • mu1.jpg
    mu1.jpg
    72.4 KB · Views: 902
  • mu2.jpg
    mu2.jpg
    54.7 KB · Views: 831
  • mu6.jpg
    mu6.jpg
    21.5 KB · Views: 819
  • mu3.jpg
    mu3.jpg
    9.3 KB · Views: 791
  • mu4.jpg
    mu4.jpg
    30.2 KB · Views: 830
mbona sijamuona bodi gadi hapo uwanjani?
 
Rais Yoweli Museveni akisakata kabumbu kwa ustadi mkubwa . Kumbe Mheshimiwa ana zaidi ya kipaji kimoja . Hongera sana kwa kuwa mwanasoka. Viva rais Museveni kwa kujenga afaya yako imara kwa mazoezi kama haya.

Dah. Mwimbaji yeye mcheza soka yeye raisi yeye. Hongera Kamanda.
 
mbona sijamuona bodi gadi hapo uwanjani?

Yeye mwenyewe ni bodyguard tosha ....yaani kakamilika mwanzo mwenga .Kma huamini huyu kamanda ni gusa unate.
 
vipaji vyake vingine ni vipi? na ukweli ni upi, ana kipaji cha kucheza soka au anafanya mazoezo kujiweka viti mwili wake?
 
Baadhi ya vipaji vyake ni hivi ...
 
Attachments

  • muss2.jpg
    muss2.jpg
    13.7 KB · Views: 284
  • muss1.jpg
    muss1.jpg
    40.2 KB · Views: 283
  • muss4.jpg
    muss4.jpg
    65.9 KB · Views: 272
  • muss3.jpg
    muss3.jpg
    39.2 KB · Views: 263
Unafiki ndo unawahangaisha tu. Angekua kikwete ndo kacheza mpira nyie ndo mngekuja hapa jukwaani kumkejeli.

Nyie hakunaga jema hata moja baba yenu anafanya(ga) la kumsifia? Kazi kuwasifia baba za kambo... nyambafffffff.....
 
You are a realistic. It's Good to see what it is than to be told what it is that you are seeing.
 
Unafiki ndo unawahangaisha tu. Angekua kikwete ndo kacheza mpira nyie ndo mngekuja hapa jukwaani kumkejeli.

Nyie hakunaga jema hata moja baba yenu anafanya(ga) la kumsifia? Kazi kuwasifia baba za kambo... nyambafffffff.....

Tunaaanza mmoja mmoja ....
 
Wapo mpwa. Si ndio yeye sasa!

Ahahaaa...but will u stand to be corrected kutokana na kauli yako> Basi ngoja mie niondoe shilingi tumalize mchezo.
 
Back
Top Bottom