Lowasa is the only one,forget about CMD,we just need them in Parliamentary seats.Not Presidential Position.Mtasubiri sana. CCM will die but never perish.
View attachment 49981
Huyu ndo kichwa, jembe, mtu makini....... ndo rais wangu na wa TZ wote.
Huyu atawafunga mafisadi wote very soon!!!!!
Kwa mfumo tulio nao upinzani kuchukua nchi sio kitu cha kutegemea.
2015 atakuwa hawezi hata kutembea kwa uzeee!
"Ni rais wangu na Wa _Tz, wote" who are u by the way 2say on behalf of wa_Tz!,mimi ni mTZ Lakin yeye sio rais wangu! U got me bul shitty?
kweli huyo ndiye chaguo letu
kweli huyo ndiye chaguo letu
jinsi inavyoonekana kwa kua alishawahi kultumikia kanisa basi atalifeva sana.HATUMTAKIIIIII.....Hawezi kuwa raisi
i. Kwanza arudishe pesa za kanisa alizoiba.
ii. Amezeeka.
iii. Hajafunga ndoa, anazini. Hatutaki raisi mzinifu.
2015 atakuwa hawezi hata kutembea kwa uzeee!
Ntakuongezea!!!!!
Ndoto za Mchana hizo labda miaka 100 ndo mchukuwe Nchi,Mx