"Rais" Wetu Hana iPAD?

"Rais" Wetu Hana iPAD?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
b4.jpg
 
Hapo jamaa mbona alikuwa amefunga mdomo? wazoefu niambieni, ukiongea na mtu kwa karibu akawa anakujibu kwa kufungua mdomo kidogo au kwa kusema mmhnhu mmmmm bila kufungua mdomo maana yake nini? hahhaha
 
Majungu mtindo mmoja.

Sent via EyePhone
 
Jamani si muda wote lazima itumike hiyo ipad, hata nyie/sie maofisini huwa tunatumia hivyo vi-note pad.
 
We huoni NOTE PAD = Analogy wakati serekali yake inahamasisha watu wahamie Digital = IPAD.
Analojia ndio nzuri anamchania jamaa anaikunja na kuisunda mfukoni na kusepa. Dijitali inabidi amtumie jamaa kwenye iPad yake ndo akakutane nayo huko. Kibongo bongo ujumbe umefika na analojia yetu, our president is a simple man
 
Kinintelijensia zaidi kwa mambo ya siri, nyeti na mission haishauriwi sana kutumia sana gadgets... ipad na blackberry haizpendelewi sana na mataifa mengi
Hivi unajua hata jeshini nchi za wenzetu mission huwa wanapanga kwenye karatasi aidha kwa kuandika au kwa kuchora
au kwa ku prrsent....

Na ndio maana hat ofisini kwa obama kuna mafaili na ana note pad... fanya uchunguzi
 
Nimefanya uchunguzi wangu kaka........ni kweli

A Thanksgiving White House photo captured the commander-in-chief sitting at his Oval Office desk, making calls to U.S. troops. To the right of Obama's chair was an object that looked like a book, but Political Wire notes that it is in fact an iPad lodged inside a DODOcase.

BARACK-OBAMA-IPAD.jpg
 
Back
Top Bottom