Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

Kwaiyo mmempa urais na mnapanga watu wenu wa kumsaidia na nani afukuzwe ndio yalikuwa makubaliano kipindi mnapigia kura?
Tumpangie kwani yeye haoni? Au yeye ndo anayemtuma huyo kijana kutuvurugia nchi yetu.
 
Sasa unataka nikubaliane na wewe kila unachotaka!! Basi fanya unachotaka wewe!
toa wendawazimu, umeleta hoja acha watu waijibu hiyo hoja accordingly.
Jadili hoja, tetea hoja yako huwezi, kaa na mkeo mjadiliane
 
toa wendawazimu, umeleta hoja acha watu waijibu hiyo hoja accordingly.
Jadili hoja, tetea hoja yako huwezi, kaa na mkeo mjadiliane
Pumba kweli mimi sijaleta hoja hii hapa ila nachangia hoja hii. Hopeless!
 
wewe una akili timamu, taifa linakutegemea so it's high time you started discussing real issues,, kupoteza chaji, bundle, muda na nguvu zako ku attack personalities na kuchukulia negatively kila asemacho Rais trust me haitokusaidia kitu.. sana itakuuguza presha. what would u have done with regard to this saga would u have been the President? kufundishwa kazi na kila mtu inaudhi usisikie
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Kwahiyo unaona hizo sio real issues? tatizo mahaba na huyu MTU yanakusumbua hujitambui tena wake up acha kulala.
 
Kwani wewe mwingereza?? Au ukiandika kiswahili hutaeleweka??
I talk in English whenever wherever I Want..problem?Hata nkitaka kuongea kipogoro,kifaransa ntaongea tu as long as message is sent and delivered,aucun probléme?
 
Kumlaumu sana Magufuli huenda tunawafurahisha wapiga dili na wauza madawa ya kulevya. Watu wa kawaida tuwe makani sana
Mkuu hii vita ya drugs isitumike kuvunya utawala wa sheria .hakuna mtanzania anayefurahia vijana wateseke na madawa ya kulevya shida inakuja utawala unapotaka kuvunja sheria za nchi na viongozi kuamua kufanya wanalotaka kwa kisingizio cha mapambano ya madawa ya kulevya.
 
sheria ngp zmevunjwa, pesa znachotwa km hakuna mwenyewe, ubovu kila mahali kabla ya utawala huu, lini mlipiga kelele km mnazopiga sasa???wabinafsi nyinyi, mirija yenu imekatwa biashara zenu haramu na kutokulipa kodi kwenu kumekomeshwa mnaegemea sababu za ujinga kabisa, who s makonda afterall he s just one person hana athari yoyote mbaya hata akibaki hapo kuliko huo ujinga wa biashara haramu kuendelea!
 
Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Kwahiyo unaona hizo sio real issues? tatizo mahaba na huyu MTU yanakusumbua hujitambui tena wake up acha kulala.
wewe ndio mjinga, hizi kelele unapga do they give you food? hizo tabia zenu za uchokoraa take t there..
 
Tumpangie kwani yeye haoni? Au yeye ndo anayemtuma huyo kijana kutuvurugia nchi yetu.
unajua kuvuruga nchi wewe..kwa hyo yeye cyo nchi yake, nini umefanya kwa nchi yako mjinga wewe, kelele nyingi upuuzi mtupu, take action tukuone km kweli wewe ni mwananchi.
 
sheria ngp zmevunjwa, pesa znachotwa km hakuna mwenyewe, ubovu kila mahali kabla ya utawala huu, lini mlipiga kelele km mnazopiga sasa???wabinafsi nyinyi, mirija yenu imekatwa biashara zenu haramu na kutokulipa kodi kwenu kumekomeshwa mnaegemea sababu za ujinga kabisa, who s ******* afterall he s just one person hana athari yoyote mbaya hata akibaki hapo kuliko huo ujinga wa biashara haramu kuendelea!
Kama hujaona ujinga wa Makonda alioufanya Ijumaa usiku pale clouds radio unahitaji kupimwa akili.
 
unajua kuvuruga nchi wewe..kwa hyo yeye cyo nchi yake, nini umefanya kwa nchi yako mjinga wewe, kelele nyingi upuuzi mtupu, take action tukuone km kweli wewe ni mwananchi.
Naona umevurugwa hatutakaa kimya .cheo ni dhamana kama tulikuchagua utatutawala kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi otherwise kasimamie mashamba yako huko kijijini
 
Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania na ni lazima atusikilize na apange kulingana na matarajio yetu. Nafikiri ni wakati muafaka sasa watanzania kuanza kuzitafakari kauli za Rais kwa kuwa zina athari kwa maisha yetu.

Haiwezi kuwa sawa eti kwa kuwa alikwenda kuchukua fomu mwenyewe anaweza kufanya atakavyo. Ni lazima awe tayari kujibu hoja zinazomkabili Makonda, akumbuke yeye ndiye aliyeanzisha mchakato wa uhakiki wa vyeti na makonda ni mtumishi wetu anayelipwa kwa fedha za Watanzania.

Nilitarajia nisikie Rais hatamchukulia hatua kwa kuwa tuhumu alizoelekezewa hazina ukweli wowote na siyo kuonyesha ubabe na kiburi kilichokithiri.
Kama amesahau hilo, nyinyi mnakumbuka kwamba yeye ni Rais wenu!? Kutwa mnamkebehi halafu mnategemea yeye kama binadamu ajiskie hali gani!?
 
Kama amesahau hilo, nyinyi mnakumbuka kwamba yeye ni Rais wenu!? Kutwa mnamkebehi halafu mnategemea yeye kama binadamu ajiskie hali gani!?
Yesu mwenyewe pamoja na kuokoa watu na kuwapa uzima wa Milele alidhihakiwa. Sembuse huyu LOFA anaye payuka payuka asiye kuwa na chembe ya uvumilivu na staha kwa wale anaowaongoza. Hii ni aibu na ujuha kwa mtu kujisifia cheo ambacho wale unao wafanya punda na kuwabeza kwamba hawakukuomba ukachukue form ndio wamekuweka mgongoni na kukubeba. Watanzania tutabadilika lini kusifiana kijinga jinga. Mnyonge mnyongeni na haki yake anayo stahili apewe tu.
 
Hapa kazi tuu! Bila hekima,bila maarifa alimradi kazi. Cheo Ni dhamana jamani tusijisahau sana
 
Back
Top Bottom