Rais wetu 2015 ni .....

Mh. John Pombe Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Ben Mkapa yule rais aliyeuza rasilimali nyingi za nchi na kujitajirisha yeye na kakikundi kake akiwemo magufuli aliyechukua nyumba 3 au 5 za serikali. Ben Mkapa ni mtu wa karibu kiufisadi na Rostam Aziz, nimesema kiufisadi kwani huu mfumo unawaunganisha wengi siyo lazima wawe na itikadi moja ya kisiasa, au urafiki wa karibu, ni kimfumo zaidi. Naam! sasa RA ni swahiba wa mh Edward Lowassa, na hapa sasa tunamuona RA, EL, Mkapa na Crew zima ya mafisadi wakifurahia unachoongea wewe mweka thread, kutupumbaza na tuwape kura waendeleze mfumo wao wa kinyonyaji. Angalia kampeni za igunga zilivyoenda kama una mashaka na mimi-mkapa, kafulila,(aliyempa mkapa kiwira) magufuli, jan makamba, (mfuasi muhimu wa mfumo wa kifisadi), nk
Kama ulikua hujui jua hilo, kama ulikua unataka kupima kama sisi tunajua au hatujui, tunajua, kama umetumwa na wakuu wako kutuchunguza hapa basi endelea kutuchunguza woga umetuishia inaf iz inaf
Sijatumwa ndugu, na wakati unachangia jiamini ndugu yangu mbona unaanza kuogopa, hayo ni mawazo tu. Tupo pamoja angalia signature yangu. CHAMA siyo kitu, tatizo ni mfumo wetu, wewe unazani wote waliopo upinzani ni wapinzani wa ukweli?. wengine ni VIBARAKA tu.
 
Serikali inapata hasara ya mamilioni ngapi kwa cku kwa ufisadi wa Maghufuli kuuza nyumba za serikali?
Mbinafsi mkubwa. Mtendaji lakini ana mapungufu mengi. tutajuta akiwa Rais.
ndugu wewe unazani kuna mtu hana mapungufu kwenye hii DUNIA yetu, wote tuna mapungufu. mimi binafasi nahitaji kujua nani anaweza kusimama na hii kichwa kama kikifanikiwa kupenya ndani ya MAGAMBA, hilo ndo swali kuu. siyo mambo ya mapungufu.
 
Jidanganye. ataburuza fisadi yupi wakati yeye mwenyewe fisadi.

hapo kijana Magnificient umenena hata mimi CHADEMA DAMU na Mwanachama kwa maoni yangu ndani ya CCM namuona MAGUFULI tu, but Kamati kuu ya MAGAMBA wanamwogopa sana kwamba akishika nchi atawabuluza mafisadi. tuombee wansimamishe uchaguzi ujao.
 
None one in CCM who can lift us from here. There are no saints in the hell believe me.
 
Jidanganye. ataburuza fisadi yupi wakati yeye mwenyewe fisadi.
toa mbadala wake, au wewe unamhitaji EL? mimi ninachotaka ni mbadala wake, sasa siyo kutoa mapungufu bila kutaja mtu ambaye hana mapungufu, taja ambaye hana mapungufu.
 
Mimi nadhani hata CCM wakimsimamisha Magufuli bado ni shida sana. Kwa sababu watu wengi wamepoteza imani na CCM. Ila sio Magufuli tu,naamini kuna viongozi wengi CCM ambao ni wazuri na wanajulikana. Ila tatizo lililopo ni kuwa,ndani ya CCM tayari kuna makundi. Kuna watu ambao wapo kwa maslahi yao binafsi. Na ukitazama hata CCM mpaka kufikia 2014 hali inaonekana itakuwa si nzuri sana. Na itawalazimu kutumia pesa nyingi sana tena sana katika uchaguzi wa 2015. Na pia nguvu ya dola itatumika sana.
CCM ni chama ambacho ukikitazama utaona kuwa kimeshapoteza mvuto kwa watu wake. Na ukitaka kuamini tazama uchaguzi wa Igunga,kama CCM ingelikuwa na nguvu isingetumia nguvu ile iliyotumia pamoja na mbinu chafu za udini,ugomvi na mengine mengi. Ebu tazama kiasi cha pesa walichotumia,tena katika eneo ambalo ni ngome yake. Alafu tazama na idadi ya kura kilichopata.
 
Mh. John Pombe Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Ben Mkapa yule rais aliyeuza rasilimali nyingi za nchi na kujitajirisha yeye na kakikundi kake akiwemo magufuli aliyechukua nyumba 3 au 5 za serikali. Ben Mkapa ni mtu wa karibu kiufisadi na Rostam Aziz, nimesema kiufisadi kwani huu mfumo unawaunganisha wengi siyo lazima wawe na itikadi moja ya kisiasa, au urafiki wa karibu, ni kimfumo zaidi. Naam! sasa RA ni swahiba wa mh Edward Lowassa, na hapa sasa tunamuona RA, EL, Mkapa na Crew zima ya mafisadi wakifurahia unachoongea wewe mweka thread, kutupumbaza na tuwape kura waendeleze mfumo wao wa kinyonyaji. Angalia kampeni za igunga zilivyoenda kama una mashaka na mimi-mkapa, kafulila,(aliyempa mkapa kiwira) magufuli, jan makamba, (mfuasi muhimu wa mfumo wa kifisadi), nk
Kama ulikua hujui jua hilo, kama ulikua unataka kupima kama sisi tunajua au hatujui, tunajua, kama umetumwa na wakuu wako kutuchunguza hapa basi endelea kutuchunguza woga umetuishia inaf iz inaf

Mkuu umenena. Magufuli yuko mtandao huo huo wa kuuza raslimali za Watanzania
 
sasa tufanyaje ili tuwazuie wasitumie DOLLA na siasa chafu za udini? na bado nauliza kwetu huku upinzani nani anweza kupambana na mbinu zao?
 
Huyo Maghufuli unaemuona mmoja tu CCM,
CDM wote wako hivyo sasa kwa taarifa yako.

Sifa za Magufuli ndani ya Magamba:
  1. Magufuli AMEUZA NYUMBAZA ZA SERIKALI wakti wa awamu ya Fisadi Mkapa.
  2. Magufuli AMEBOMOA NYUMBA NYINGI ZA WATANZANIA kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara.
  3. Magufuli ATATEKELEZA SERA ZA CCM hiyo hiyo ambayo Watanzania wamechoka nayo.
In short Magufuli is a not a possible Candidate to run the Highest office in the country. Labda ahamie CHADEMA na agombee Ubunge nje ya hapo na yeye ni Gamba tu kama Magamba mengine.
 
Mh. John Pombe Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Ben Mkapa yule rais aliyeuza rasilimali nyingi za nchi na kujitajirisha yeye na kakikundi kake akiwemo magufuli aliyechukua nyumba 3 au 5 za serikali. Ben Mkapa ni mtu wa karibu kiufisadi na Rostam Aziz, nimesema kiufisadi kwani huu mfumo unawaunganisha wengi siyo lazima wawe na itikadi moja ya kisiasa, au urafiki wa karibu, ni kimfumo zaidi. Naam! sasa RA ni swahiba wa mh Edward Lowassa, na hapa sasa tunamuona RA, EL, Mkapa na Crew zima ya mafisadi wakifurahia unachoongea wewe mweka thread, kutupumbaza na tuwape kura waendeleze mfumo wao wa kinyonyaji. Angalia kampeni za igunga zilivyoenda kama una mashaka na mimi-mkapa, kafulila,(aliyempa mkapa kiwira) magufuli, jan makamba, (mfuasi muhimu wa mfumo wa kifisadi), nk
Kama ulikua hujui jua hilo, kama ulikua unataka kupima kama sisi tunajua au hatujui, tunajua, kama umetumwa na wakuu wako kutuchunguza hapa basi endelea kutuchunguza woga umetuishia inaf iz inaf
Kama Maghufuli amekutuma kupima msimamo wa watu, mwambie ahame CCM aje CDM na bado tutanchunguza kama kweli si fisadi, ili tusiruke jivu tukatua kwenye moto!!!!!!!!!!!!
 
Sifa za Magufuli ndani ya Magamba:
  1. Magufuli AMEUZA NYUMBAZA ZA SERIKALI wakti wa awamu ya Fisadi Mkapa.
  2. Magufuli AMEBOMOA NYUMBA NYINGI ZA WATANZANIA kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara.
  3. Magufuli ATATEKELEZA SERA ZA CCM hiyo hiyo ambayo Watanzania wamechoka nayo.
In short Magufuli is a not a possible Candidate to run the Highest office in the country. Labda ahamie CHADEMA na agombee Ubunge nje ya hapo na yeye ni Gamba tu kama Magamba mengine.
nani sasa anaweza,mbona hamjibu swali kazi kumponda tu MAGUFULI? Toa maoni kuwa huenda labda nanii ndo anaweza
 
Kama Maghufuli amekutuma kupima msimamo wa watu, mwambie ahame CCM aje CDM na bado tutanchunguza kama kweli si fisadi, ili tusiruke jivu tukatua kwenye moto!!!!!!!!!!!!
Kama hafai ndani ya CCM, wewe umeona CHADEMA ndo tunap[okea wasiyo faa, kama hafai ndani ya MAGAMBA ujue ndani CDM ndiyo hafai kabisa.
 
toa mbadala wake, au wewe unamhitaji EL? mimi ninachotaka ni mbadala wake, sasa siyo kutoa mapungufu bila kutaja mtu ambaye hana mapungufu, taja ambaye hana mapungufu.

Enzi zetu tulipokuwa tukiandika waraka za BLM kulikuwa na kipengele kiitwacho 'Mpango mbadala' in most cases ze answr waz no! Hivyo ndo kusema, mtu mbadala kutoka magamba kama utakavyo ww-HAKUNA
 
siyo kutoka MAGAMBA na maanisha hata nje ya ya MAGAMBA, ndani ya UPINZANI, na nikiongelea upinzani namaanisha CHADEMA, nani anatufaa kwa 2015 toka huko?
 
Nimeazimia kutosoma thread yoyote inayohusu urais 2015 kuanzia leo mpaka january 2014 hapa JF.
 
Magufuri haiwezi nafasi ya maamzi kama ya rais yeye ni mtendaji , mtu wa kupewa kazi na kuifanya kwa uaminifu na siyo siasa za maji taka za urais
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom