Rais wetu 2015 ni .....

Magufuri haiwezi nafasi ya maamzi kama ya rais yeye ni mtendaji , mtu wa kupewa kazi na kuifanya kwa uaminifu na siyo siasa za maji taka za urais

You are very wrong! Najiuliza kuwa unapokuwa unatoa jibu kama hilo unatumia vigezo gani wewe? Unataka kumaanisha Kikwete anafaa kuliko Migufuri? Usitake kutoa judgement ya mtu kwasababu za kutoka mfukoni kwako. Tukiruhusu judgements hizo, mimi nitazitumia kukuhukumu wewe pia kwa kutumia jina lako la Oba, kuwa wewe una-push ganja ... ha ha ha ha!

Tuache utani, nafasi ya rais sasa hivi ni nyeti kwasababu kuu zifuatazo:
(1) Nyerere aliongoza nchi hii vizuri sana na kuweka precedence ambayo waliomfuata wameshindwa kuifikia
(2) Watu wamepoteza maana ya rais kama kiongozi wa watu, sasa wanaanza kuona kama ni zamu ya ama kabila, au dini, au ukanda kutumbua keki ya taifa
(3) Mali asili imeporwa na viongozi baada ya Nyerere, Ardhi imeuzwa na haohao, Viwanja vinanunuliwa na wageni na wananchi wazawa wanaanza kuwa marginalised
(4) Influx ya foreigners ni kubwa kuliko wakati wowote, na wanakuja na capital power. Tuna wachina, wasomali, waarabu, wahindi, wakenya, wanigeria, pakstan, nk.. wanakuja kuishi, kunua ardhi, kufanya biashara...wana uwezo mkubwa wa (1) mawazo ya biashara (2) capital (3) information (4) Exposure, (5) business networks nk
Wa-Tz wamekuwa timed wakingali bado wanaamini kuwa rais anawalinda, analinda nchi na mali zao, anawapenda na kuwafundisha na kuwatayarisha kujilinda. Wakati wakiwa katika hali kama hiyo, kumbe wanayemwamini alishabadilika kutoka binadamu hadi nunda mla watu. Very sad

Sasa, kila upande tuangalie, yaani Ruling part na Opposition parties:

CCM
CDM
1
Kina performance record mbili nzuri (Nyerere) na mbaya (Non-Nyerere)
Bado hakijashika dola
2
Sera zao ni nzuri
Sera zao ni nzuri
3
Record yake ni ya mtu mmoja tu (Nyerere)
Record yao ni ya mtu mmoja tu (Dr W. Slaa)
4
Kina watu wazuri na wabaya
kina watu wazuri na wabaya
5
Kujisafisha ni vigumu, labda yafanyike mapinduzi ya mtutu kuua mafisadi wote
Hakijachafuka, lakini kina potential ya kuchafuka pia
6
Kina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza kama vile:
Magufuri, Mwandosya, Lowasa, Mwakyembe, Membe, Mwinyi, na wengine...
Kina watu wenye uwezo wa kuongoza kama:
Dr W. Slaa, Mh Tundu, Mh Zito, Mh Mbowe.

Pia kuna vyama vingine kama CUF kule kuna Prof Haruna Ibrahim Lipumba, ana uwezo, kuna NCCR na TLP. Kwa mawazo yangu mimi ni kuwa, CCM iondoke ikae pembeni mwaka 2015 ili kuimarisha democrasy, kisha miaka ijayo vyama vya upinzani vibaki 2 au 3 na kuimarisha mfumo huo. Lakini ukweli hakuna chama hata kimoja ambacho ni kizuri 100% au kina watu wazuri 100% tusidanganyike, hakuna, na siyo Tz peke yake, bali hata UK, USA na Israel. Kote huko kuna binadamu tu kama mimi na wewe. Samahani sina mpangilio lakini naomba upate hoja yangu katika mvurugano wa mawazo ktk hoja yangu.
 
Tanzania inaingia kwenye mikono ya Utawala wa kijeshi nadhani meja general KILO ndio atakuwa rais wa kipindi cha mpito

sorry kama ukweli huu utawaathiri wengine
 
Tatizo ni MFUMO WA UTAWALA waliojiwekea CCM, achana na unaosomeka kwenye makabrasha yao ambao hawautekelezi bali wanachotekeleza nia taratibu za huyo ni mwenzetu mwacheni apumzike kama mfu. Magufuli peke yake ahawezi kbadili huo mfumo vinginevyo wako tayari kumkolimba.

Tanzania tunataka mfumo mwingine wa uongozi ambao CHADEMA wameonyesha mfano. Peoples Power is much better to take over.
 
You are very wrong! Najiuliza kuwa unapokuwa unatoa jibu kama hilo unatumia vigezo gani wewe? Unataka kumaanisha Kikwete anafaa kuliko Migufuri? Usitake kutoa judgement ya mtu kwasababu za kutoka mfukoni kwako. Tukiruhusu judgements hizo, mimi nitazitumia kukuhukumu wewe pia kwa kutumia jina lako la Oba, kuwa wewe una-push ganja ... ha ha ha ha!

Tuache utani, nafasi ya rais sasa hivi ni nyeti kwasababu kuu zifuatazo:
(1) Nyerere aliongoza nchi hii vizuri sana na kuweka precedence ambayo waliomfuata wameshindwa kuifikia
(2) Watu wamepoteza maana ya rais kama kiongozi wa watu, sasa wanaanza kuona kama ni zamu ya ama kabila, au dini, au ukanda kutumbua keki ya taifa
(3) Mali asili imeporwa na viongozi baada ya Nyerere, Ardhi imeuzwa na haohao, Viwanja vinanunuliwa na wageni na wananchi wazawa wanaanza kuwa marginalised
(4) Influx ya foreigners ni kubwa kuliko wakati wowote, na wanakuja na capital power. Tuna wachina, wasomali, waarabu, wahindi, wakenya, wanigeria, pakstan, nk.. wanakuja kuishi, kunua ardhi, kufanya biashara...wana uwezo mkubwa wa (1) mawazo ya biashara (2) capital (3) information (4) Exposure, (5) business networks nk
Wa-Tz wamekuwa timed wakingali bado wanaamini kuwa rais anawalinda, analinda nchi na mali zao, anawapenda na kuwafundisha na kuwatayarisha kujilinda. Wakati wakiwa katika hali kama hiyo, kumbe wanayemwamini alishabadilika kutoka binadamu hadi nunda mla watu. Very sad

Sasa, kila upande tuangalie, yaani Ruling part na Opposition parties:

CCM

CDM
1
Kina performance record mbili nzuri (Nyerere) na mbaya (Non-Nyerere)
Bado hakijashika dola
2
Sera zao ni nzuri
Sera zao ni nzuri
3
Record yake ni ya mtu mmoja tu (Nyerere)
Record yao ni ya mtu mmoja tu (Dr W. Slaa)
4
Kina watu wazuri na wabaya
kina watu wazuri na wabaya
5
Kujisafisha ni vigumu, labda yafanyike mapinduzi ya mtutu kuua mafisadi wote
Hakijachafuka, lakini kina potential ya kuchafuka pia
6
Kina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza kama vile:
Magufuri, Mwandosya, Lowasa, Mwakyembe, Membe, Mwinyi, na wengine...
Kina watu wenye uwezo wa kuongoza kama:
Dr W. Slaa, Mh Tundu, Mh Zito, Mh Mbowe.

Pia kuna vyama vingine kama CUF kule kuna Prof Haruna Ibrahim Lipumba, ana uwezo, kuna NCCR na TLP. Kwa mawazo yangu mimi ni kuwa, CCM iondoke ikae pembeni mwaka 2015 ili kuimarisha democrasy, kisha miaka ijayo vyama vya upinzani vibaki 2 au 3 na kuimarisha mfumo huo. Lakini ukweli hakuna chama hata kimoja ambacho ni kizuri 100% au kina watu wazuri 100% tusidanganyike, hakuna, na siyo Tz peke yake, bali hata UK, USA na Israel. Kote huko kuna binadamu tu kama mimi na wewe. Samahani sina mpangilio lakini naomba upate hoja yangu katika mvurugano wa mawazo ktk hoja yangu.

Acha hizo wewe sasa nyerere ana record gani? mkuu au ni ule unazi wenu unawsumbua

Tanzania ilianza kuwa Tanzania baada ya mwinyi (wise and humble) kuondoa nchi katika box la giza nene liloletwa na huyo mzee for 23 yrs..long staye for nothing except his church not for nation
 
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.

Magufuli hafai kabisa, kwanza umedanganya kuwa wananchi wengi wanaimani nae, hiyo sio kweli hata kidogo. Mwananchi gani atakuwa na imani na mtu aliye uza nyumba za serikali kwa rafiki na mahawara zake? nakwambia akiwa raisi ataziuza barabara zote za lami halafu ataweka rehani ofisi zote za serikali iliapate fedha za kuendeshea nchi. Tafadhari sana epuka kabisa kutaja jina la shetwani huyo.
 
You are very wrong! Najiuliza kuwa unapokuwa unatoa jibu kama hilo unatumia vigezo gani wewe? Unataka kumaanisha Kikwete anafaa kuliko Migufuri? Usitake kutoa judgement ya mtu kwasababu za kutoka mfukoni kwako. Tukiruhusu judgements hizo, mimi nitazitumia kukuhukumu wewe pia kwa kutumia jina lako la Oba, kuwa wewe una-push ganja ... ha ha ha ha!

Tuache utani, nafasi ya rais sasa hivi ni nyeti kwasababu kuu zifuatazo:
(1) Nyerere aliongoza nchi hii vizuri sana na kuweka precedence ambayo waliomfuata wameshindwa kuifikia
(2) Watu wamepoteza maana ya rais kama kiongozi wa watu, sasa wanaanza kuona kama ni zamu ya ama kabila, au dini, au ukanda kutumbua keki ya taifa
(3) Mali asili imeporwa na viongozi baada ya Nyerere, Ardhi imeuzwa na haohao, Viwanja vinanunuliwa na wageni na wananchi wazawa wanaanza kuwa marginalised
(4) Influx ya foreigners ni kubwa kuliko wakati wowote, na wanakuja na capital power. Tuna wachina, wasomali, waarabu, wahindi, wakenya, wanigeria, pakstan, nk.. wanakuja kuishi, kunua ardhi, kufanya biashara...wana uwezo mkubwa wa (1) mawazo ya biashara (2) capital (3) information (4) Exposure, (5) business networks nk
Wa-Tz wamekuwa timed wakingali bado wanaamini kuwa rais anawalinda, analinda nchi na mali zao, anawapenda na kuwafundisha na kuwatayarisha kujilinda. Wakati wakiwa katika hali kama hiyo, kumbe wanayemwamini alishabadilika kutoka binadamu hadi nunda mla watu. Very sad

Sasa, kila upande tuangalie, yaani Ruling part na Opposition parties:

CCM
CDM
1Kina performance record mbili nzuri (Nyerere) na mbaya (Non-Nyerere)Bado hakijashika dola
2Sera zao ni nzuriSera zao ni nzuri
3Record yake ni ya mtu mmoja tu (Nyerere)Record yao ni ya mtu mmoja tu (Dr W. Slaa)
4Kina watu wazuri na wabayakina watu wazuri na wabaya
5Kujisafisha ni vigumu, labda yafanyike mapinduzi ya mtutu kuua mafisadi woteHakijachafuka, lakini kina potential ya kuchafuka pia
6Kina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza kama vile:
Magufuri, Mwandosya, Lowasa, Mwakyembe, Membe, Mwinyi, na wengine...
Kina watu wenye uwezo wa kuongoza kama:
Dr W. Slaa, Mh Tundu, Mh Zito, Mh Mbowe.

Pia kuna vyama vingine kama CUF kule kuna Prof Haruna Ibrahim Lipumba, ana uwezo, kuna NCCR na TLP. Kwa mawazo yangu mimi ni kuwa, CCM iondoke ikae pembeni mwaka 2015 ili kuimarisha democrasy, kisha miaka ijayo vyama vya upinzani vibaki 2 au 3 na kuimarisha mfumo huo. Lakini ukweli hakuna chama hata kimoja ambacho ni kizuri 100% au kina watu wazuri 100% tusidanganyike, hakuna, na siyo Tz peke yake, bali hata UK, USA na Israel. Kote huko kuna binadamu tu kama mimi na wewe. Samahani sina mpangilio lakini naomba upate hoja yangu katika mvurugano wa mawazo ktk hoja yangu.
nimependa uchambuzi wako.
 
Magufuli hafai kabisa, kwanza umedanganya kuwa wananchi wengi wanaimani nae, hiyo sio kweli hata kidogo. Mwananchi gani atakuwa na imani na mtu aliye uza nyumba za serikali kwa rafiki na mahawara zake? nakwambia akiwa raisi ataziuza barabara zote za lami halafu ataweka rehani ofisi zote za serikali iliapate fedha za kuendeshea nchi. Tafadhari sana epuka kabisa kutaja jina la shetwani huyo.
toa mbadala
 
toa mbadala wake, au wewe unamhitaji EL? mimi ninachotaka ni mbadala wake, sasa siyo kutoa mapungufu bila kutaja mtu ambaye hana mapungufu, taja ambaye hana mapungufu.
Tanzania inavijana wengi wazuri sana, cha kuling'ang,ania hilo fisadi majununi nini? Kweli ktk watanzania milioni 40 ushindwe kumuona mtu isipo kuwa hilo robot lako!
 
No one i can trust in CCM!!! We need some from opposition and this is Dr W Sla'a
Ni kweli kwa sababu CCM ni taasisi inayoendeshwa kwa mfumo wanaouamini wao, hivyo hata akitokea nani mle ataambiwa huo sio utaratibu wetu, labda unda chama chako..........la msingi ni kwamba hadi sasa hv ipo mtaroni inasubiri kukamatwa tu.
 
hopeless nation!! kweli mnaweza kuwaza wauza nyumba za serikali ni viongozi safi, yaani unauza nyumba ili wanaokuja wapange kwa $5000-10000 kwa mwezi katika nyumba nyingine na nyingi za hawa hawa wakubwa?
 
Mbona tumeambiwa ni Nape? Magufuli katoka wapi tena? Nape ndo anawafaa magamba, acheni kuwachanganya raia wema.
 
maneno ya watu hayo, mbona hiya kitu ni ya ben. bana, angeweza mwenyewe?

Sawa, kama ilikuwa ya Ben kwa nini hakuipinga au kuikataa kama ana uzalendo? Halafu wanaoamini Magufuli anafaa ni sawa na wale wanaohubiri kuwa Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri wa Libya - wote wanalitazama bakuli kwa nje hawajui limefunika nini ndani.
 
Magandwa wana matatizo kweli, badala ya kuwaza kuwatumikia wananchi mnawaza 2015 uraisi.
Hivi kule pwani wakina Riz 1 waliposema raisi ajaye hatatoka kaskazini, juzi kwenye ufunguzi wa matawi ya Magamba kule Arusha mmoja ya mada kuu ni Urais, je hawa hukuöna kwamba wamewahi sana?
 
ndugu wewe unazani kuna mtu hana mapungufu kwenye hii DUNIA yetu, wote tuna mapungufu. mimi binafasi nahitaji kujua nani anaweza kusimama na hii kichwa kama kikifanikiwa kupenya ndani ya MAGAMBA, hilo ndo swali kuu. siyo mambo ya mapungufu.

diwani yeyote 2 wa chadema atamtosha huyo magufuli..chagua mwenyewe diwani mmoja wapo..hope umepata jibu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom