St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
cheerz!!!!!!!!! brother markj kuna mahali inafikia usipende kutanguliza makwazo kwa mtu hasa ukilenga watu hawa aise lazima uambulie matusi 1.baba 2.mama usimtukanie mtu, mzazi wa mtu halinganishwa na chochote. hizi huku jf sometimes ni siasa tuuu tena za majitaka.:welcome:mtoto mdogo sana wewe! nikutafute kwa lipi? i post my comment, umejifanya unajua sjui ulikuwa secretary wa jeshi by that tym! au ndo umesimuliwa kijiweni! anywaz wagombanao ndo wapendanao! nafurahi kukujua! nice to meet you here! yaishe rafki yangu
..Na Kuanguka anguka vile atacheza mchezo gani mnataka kutuletea matatizo bure hapa!!!..Mh! Rais wetu sijui anaweza mchezo gani?
Mh! Rais wetu sijui anaweza mchezo gani?
Akili zako siku zote ni Mgando. Hufikiri kwingine maana ndo uwezo wako ulipoishia
Dhaifuuuuu!!!
Kiongozi wa nchi hata kama ni dhaifu anstahili heshima. Hampashwi kumdharau kiasi hicho it is not fair. This man is running a country's issues ni kazi ngumu hata wewe huwezi.
Mpeni nafasi na anastahili heshima jamani. Amekubalika mbele za Mungu mtake msitake.]
Mungu yupi amemkubali mkuu! mbona unaleta hadithi za abunuasi kaka......