Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,979
- 6,676
Nilikuwa namsikiliza Mufti sasa hivi amesema Rais amefiwa, lazima afuate eda, lakini pia anaweza kuendelea na kazi zake.
Sasa najiuliza katika Sharia kama anaweza kuolewa tena.
Sasa najiuliza katika Sharia kama anaweza kuolewa tena.