Rais Wenu anaweza hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Wenu anaweza hii?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 30, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Anatembea km 3 kila siku...zamani ndio alikuwa anaweza baskrtball kwa sasa hawezi kuruka ruka!!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mh! Rais wetu sijui anaweza mchezo gani?
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tuna maraisi wengi hapa bongo, yupo raisi wa manzese,raisi wa chama cha waendesha guta,raisi wa JMT,raisi wa chama cha wamiliki wa daladala,raisi wa chama cha walemavu etc,etc! Ni yupi unayemuulizia
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hawezi kukosa mkuu,lazima kuna mchezo anaouweza,ila sio lazima mimi na wewe tuujue!
   
 6. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Dhaifuuuuu!!!
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  umeshamuita hivyo, ataweza wapi!?
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Labda michezo ile ya pono-oooo!! Ambayo ni sirii ya watu wawili 2 na mitara in public
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Rais kivuli Slaa ndio anaweza hiyo. Kwi kwi kwi teh teh teh!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pia rais wa wasafi,rais wa darcoboa,rais wa masharobaro,rais wa watangazaji(Presenter's president),rais wa chaputa!
   
 11. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mchezo wake wote tunaujua hakuna haja ya kuutaja.

   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Akiwezeshwa ataweza, umeona wapi basket ball is preffered sports in TZ.
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Una maana Rais wa JMT.? Naye ni mcheza Basket yule, ila sina hakika kama anapata muda wa kupumzika na kufanya mazoezi, lakini angalau ana spirit ya Michezo, sio mbaya, Si mnajua mwanajangwani mwenzetu?
   
 14. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  hiyo ni sifa mkuu,akiamua kubadilika ataweza......
   
 15. m

  markj JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  yoyote aliyepitia jeshini kipindi hicho ni lazma alifanya michezo mbalimbali! wakati wao wanasoma pia kulikuwa na mashindano haswaa ya michezo mbalimbali! sidhani kama eti hajui kitu! bali ni umri kwa sasa na majukumu ya nchi yetu hasa kwa rais kufanywa yy ndo kila kitu,ivyo kuna mnyima uhuru mwingi! nchi kama marekani haya ni mambo ya kawaida kwa kuwa kuwa watu wanatambua wajibu wao wa kazi! hivyo sasa mtu kama obama akiwa yuko michezoni system zingine za kazi zinaendelea kama kawaida! kwa mf:usalama,uduma za afya zote zitakuwa safi tu kwa wananchi! BUT hapa mtu kama kikwete akitoka tu hata kidogo kwenda kutazama mechi taifa basi ujue system zingine zote za kazi zinafeli mana wakuu wa polisi wote watakuwa huko,usalama wote huko, madoctor wazuri wote huko! wapambe wa vyama hukoo! maprotocal officer wote hukoo! watu wa ikulu wote hukoo! kwa upande wetu sisi wabongo tulivyo wanafiki nasi tutasema rais anacheza wakati madr na walimu wamegoma na maneno meengi nk!
   
 16. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona hao Mabodyguards kama vile wanamuogopa vile?
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  labda anaweza vanga na kukopa.
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani jeshini hamna wavivu na mabwabwa.
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanawake ndio wanawezeshwa sasa kama yeye ni mwanamke mwezesheni basi.
   
 20. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  na kile kitambii njaa kilichoning'inia awezee wapiiiii
   
Loading...