Rais wangu Kikwete unatuaibisha..

Rais wangu Kikwete unatuaibisha..

Olesaidimu hujamuelewa mjasiria, wote mpo kwenye same page
 
Ni afadhali anayeandika points kwenye karatasi halafu aka present vizuri kuliko ukajifanya kichwa una kremu halafu ukachemka. BIG UP MR PREZIDA

Vipi na yule anayeandika halafu akija ku present utumbo mtupu kama Joka Kuu? au yeye ni potelea mbali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom