Rais wangu Kikwete, siwezi kununua hata dagaa sasa!

kwani language mistake iko vipi!? Kwa mfano mimi nikimwambia mtu toa pumba halafu badala ya kumalizia na "a" kwenye pumba nikaweka "u" je nitakua nimebadili maana au maana itakuwa ile ile...
Mkuu unamaanisha toa MBUPU?(kwa kinyume chake)
 
Mbona unajaribu kupotosha mjadala? Suala ni maisha yamekuwa magumu chini ya kiongozi wenu Kikwete. Sasa hayo ya fedha za mtandao yanahusiana vipi?

Maisha yalikuwa magumu tangu enzi za nyerere hadi leo

Kama hatukumuondoa nyerere hatuna haki ya kumuondoa kikwete

Tuvumulie tu hadi 2015..besides pesa za internet fee ni kubwa kuliko pesa za dagaa (logically mtoa mada anadanganya)
 
Tumizoea kumwachia mungu,mungu nae kachoka kubeba mizigo yetu tuliyo jitwisha wenyewe. Kama zigo tulituwe. Kasi ya maisha bora ilikuwa na nguvu ya ajabu mpaka ikapitiza kwenye maisha bora. Sasa tusubiri inarudi livasi mpaka 2015 tutakuwa tumefikia malengo ya maisha bora.
 
Dagaa huwezi kununua lakini fedha ya kuingia mtandaoni unayo, au unaiba mtandao wa ofisini?
Acha kukariri,si msahafu haya mambo!

A basic need can be a luxury to one community and something else to another, shangaa kwanini almost everbody ana cell phone Dar, wakati kuna majiji mengine tajiri na si kila mtu mwenye uwezo wa cell phone?

Ama siyo kitu ambacho ni muhimu kuliko lets say iPad...?

Kila mtu atanunua kile ambacho kitamsaidia kuendelea kuishi kwa namna moja ama nyingine, yani kinacho satisfy need yake...

Kila need ina priority yake ya tofauti depending on a society.

Kwa kifupi priorities huwa zina tofautiana kutokana na jamii na kwahivyo huwezi ku conclude kuwa dada huyu hana uwezo wa kununua dagaa kwasababu tu hakutakiwa kuwasiliana ama kupata information ambazo kwake ni pengine ni muhimu depending on her daily life...

Pengine asipotumia hizo pesa kuweza kuingia mtandaoni basi hatoweza kupata hata hicho anachokipata kwasasa ie sembe mrenda etc.
 
Tuvumulie tu hadi 2015..besides pesa za internet fee ni kubwa kuliko pesa za dagaa (logically mtoa mada anadanganya)

Unauhakika gani kama mtoa mada analipia hiyo internet, yawezekana anatumia ya jirani.
 
Acha kukariri,si msahafu haya mambo!
A basic need can be a luxury to one community and something else to another, shangaa kwanini almost everbody ana cell phone Dar, wakati kuna majiji mengine tajiri na si kila mtu mwenye uwezo wa cell phone, ama siyo kitu ambacho ni muhimu kuliko lets say iPad...Kila mtu atanunu kile amabacho ni kitamsaidia kuendelea kuishi kwa namna moja ama nyingine, yani kina satisfy need yake.Kila need ina priority yake depending on a society.

Kwa kifupi priorities zina tofautiana kutokana na jamii na kwahiyo huwezi ku conclude kuwa dada huyu hana uwezo wa kununua dagaa kwasababu tu hakutakiwa kuwasiliana ama kupata information ambazo kwake ni muhimu depending on her daily life, pengine asipotumia hizo pesa kuweza kuingia mtandaoni basi hatoweza kupata hata hicho anachokipata kwasasa ie sembe mrenda etc

Kweli kabisa mkuu, kuna watu wanategeme hiyo internet kuishi, no internet no money.
 
Utajuta kumpa kura yako dada! Na bado hapo! Nauli ya kwenda na kurudi mjini we na wanao je?! Luku,mwezi ujao yunifomu na ada... Umeuona mziki? Kodi je..
 
nafikiri kwa maisha haya ya sasa ni kipimo tosha kuwa mabadiliko ya maisha unaanza kuyatengeneza wewe mwenyewe lakin kama tutaendeleza ushabiki wa siasa kwa kuchagua viongozi ambao wameshindwa kutusaidia kitu hali itakuwa zaidi ya hii..si tu kununua dagaa hata nauli ya daladala itashindikana. tubadilike tuhoji mali zetu zinaenda wapi?
 
Rais Kikwete, miezi 2 iliyopita dagaa kilo moja ilikuwa tsh 3000, leo hii dagaa tsh6200.

Nina watoto 3 wanaosoma, siwezi kuwalisha. Nyama siwezi kununua, na hata dagaa siwei kununua kwa mshahara wa laki 250,000.

Nadhani umeshindwa kuongoza nchi kilichobaki ni sisi kuingia mitaani kukuondoa kama hautaki kuondoka mwenyewe. Siwezi kuendelea kuvumilia, kwa maana kama dagaa chakula cha masikini siwezi kukinunua ni nini sasa nitakachoweza kununua kuwalisha wanangu?

Niwalishe wanangu nini? Nilikupigia kura nikiamini kwamba ungeleta mabadiliko uliyoyaahidi...... baba ondoka, kwa maana umekiua chama chetu cha CCM, vinginevyo tunakwenda Chadema wamama wote

Nadhani ni heri uwapeleke watoto pale Ikulu...chochote atakachokufanyia ndio kiwe chanzo cha sisi kuingia mitaani..iwe kama Tunisia vile..au unasemaje?
 
Tena nimesikia Tanzania inataka kuipa msaada wa Computer Japan, na imedhihirika Obama anaionea gere Tanzania kutokana na uchumi wetu kupaa kwa kasi ya ajabu.

Hii ni zaidi ya hatari, Serikali imeshindwa kulipa mishahara iweje itoe msaada wa Computer Japan? Au umeteleza ulitaka kutwambia kutoa msaada wa kupatia madini wachimbe bure.
 
Hapo bado hadi mtakapo koma kufanya maamuzi ya kijinga wajinga sana watu kama nyie
 
Typo or thumbo and not language mistake, just take a look at where u and i is?

@ FaizaFoxy Wewe siyo mzazi. Ungekuwa mzazi anayewaangalia wanaye wakienda kulala njaa, kuna mambo usingeweza kuandika, hasa ukia mwislamu anayempenda mungu. Wanangu wameniumiza sana roho wakienda kulala njaa. Wa miaka mitattu alilia siku moja akaniuliza mama tutakula lini, nilitamani kujiua.
 
@ FaizaFoxy Wewe siyo mzazi. Ungekuwa mzazi anayewaangalia wanaye wakienda kulala njaa, kuna mambo usingeweza kuandika, hasa ukia mwislamu anayempenda mungu. Wanangu wameniumiza sana roho wakienda kulala njaa. Wa miaka mitattu alilia siku moja akaniuliza mama tutakula lini, nilitamani kujiua.

Wewe wanao wanalala na njaa wewe upo kwenye JF na pesa za kutumia kwenye mtandao unazo. Unanchekesha!

Wanaolala na njaa wana wakati wa kuja hapa na kupoteza wakati?

Tena hili la Uislaam usilete kabisa kwani tunaamini kuwa Mwenyeezi Mungu hakileti kiumbe chake hapa ila kina rizki yake na itapokwisha ya hapa duniani basi hakitobaki. Hao wanao sio wewe unaowapa rizki, huna uwezo huo. Usitafute "sympathy" ya kutaja watoto na njaa. Muislaam hivyo havimsumbui kabisa tena, kila mmoja ana rizki yake na si wewe tu hakuna yeyote anaeweza kulibadili hilo na ikiisha hata ushindiliwe haipiti. Unaijuwa rizki wewe? Usinchekeshe.

Kwangu hupati kabisa "sympathy" ukija na mikwara ya njaa.
 
Wewe wanao wanalala na njaa wewe upo kwenye JF na pesa za kutumia kwenye mtandao unazo. Unanchekesha!

Wnaolala na njaa wana wakati wa kuja hapa na kupoteza wakati?

Tena hi la Uislaam usilete kabisa kwani tunaamini kuwa Mwenyeezi Mungu hakileti kiumbe chak hapa ila kina rizki yake na itapokwisha ya hapa duniani basi hakitobako. Hao wanao sio wewe unaowapa rizki. huna uwezo huo. Usitafute "sympathy" ya kutaja watoto na njaa. Muislaam hivyo havimsumbui kabisa tena, kila mmoja ana rizki yake na si wewe tu hakuna yeyote anaeweza kulibadili hilo na ikiisha hata ushindiliwe haipiti. Unaijuwa rizki wewe? Usinchekeshe.

Kwangu hupati kabisa "sympathy" kabisa ukija na mikwara ya njaa.
Acha ujinga!

Kama mambo si amgumu mbona wabunge nasikia wamejiongezea posho kwa siri?

Tuondolee ujiga donot insult our intelligence!

Sijui unafiiri unakuja kujadili issue na kindergatens humu?

Acha ujinga unaudhi bana!

Maisha ni magumu,kla mtu kwa level yake ameathirika kwa namna yake, kama huna cha kuposti kaa kimya!

Mtu mwenyewe mgumu kuelewa kaanini,sijui makusudi?



Aargh!
 
Acha ujinga!
Kama mambo si amgumu mbona wabunge nasikia wamejiongezea mishahara kwa siri?
Tuondolee ujiga donot insult our intelligence!
Sijui unafiiri unakuja kujadili issue na kindergaetens humu?
Acha ujinga unaudhi bana!

Maisha ni magumu,kla mtu kwa level yake ameathirika kwa namna yake, kama huna cha luposti kaa kimnya!



Aargh!

Maisha magumu ungekaa JF kupoteza wakati saa zote? kama FF, maisha raha mustarehe wewe, wacha ulimbukeni.
 
Maisha magumu ungekaa JF kupoteza wakati saa zote? kama FF, maisha raha mustarehe wewe, wacha ulimbukeni.
Kila mtu na level yake,mkifanya blanda,hata wale wanaolipwa mishahara wanakuwa na maisha magumu...

Walimu, wamachinga, nk

Kwa ujumla mbayuwayu ina maana hawawezi kumudu gharama ya kujipatia information kuhusu nyie mashetani mnaomaliza nchi?
 
Kila mtu na level yake,mkifanya blanda,hata wale wanaolipwa mishahara wanakuwa na maisha magumu...

Walimu, wamachinga, nk

Kwa ujumla mbayuwayu ina maana hawawezi kumudu gharama ya kujipatia information kuhusu nyie mashetani mnaomaliza nchi?

Aliyeimaliza hii nchi ikawa hohehahe ni Nyerere, Kikwete anaitengeneza, mimi ni muwekezaji Mzalendo, nimewekeza sana tu, nimeziona fursa, wewe usie na macho kaa ulie njaa Wachina wanakuja kuuza hata karanga. Kalagabaho. "Usimuamshe aliyelala utalala wewe".
 
Back
Top Bottom