FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,116
- 107,598
usiki = usiku
Typo or thumbo and not language mistake, just take a look at where u and i is?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiki = usiku
[/COLOR]u and i is?
Hapo kukuelewa itakuwa ngumu. Tumia tu lugha yako asili hii ya kigeni huiwezi!
Typo or thumbo and not language mistake, just take a look at where u and i is?
Rais Kikwete, miezi 2 iliyopita dagaa kilo moja ilikuwa tsh 3000, leo hii dagaa tsh6200.
Nina watoto 3 wanaosoma, siwezi kuwalisha. Nyama siwezi kununua, na hata dagaa siwei kununua kwa mshahara wa laki 250,000.
Nadhani umeshindwa kuongoza nchi kilichobaki ni sisi kuingia mitaani kukuondoa kama hautaki kuondoka mwenyewe. Siwezi kuendelea kuvumilia, kwa maana kama dagaa chakula cha masikini siwezi kukinunua ni nini sasa nitakachoweza kununua kuwalisha wanangu?
Niwalishe wanangu nini? Nilikupigia kura nikiamini kwamba ungeleta mabadiliko uliyoyaahidi...... baba ondoka, kwa maana umekiua chama chetu cha CCM, vinginevyo tunakwenda Chadema wamama wote
kwani language mistake iko vipi!? Kwa mfano mimi nikimwambia mtu toa pumba halafu badala ya kumalizia na "a" kwenye pumba nikaweka "u" je nitakua nimebadili maana au maana itakuwa ile ile...
Kwa Kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu Kiingereza; nilikuwa nafundisha Kiingereza Uingereza, upo hapo ulipo?
JICHO D, you have the great point.
JUWATA na OTTU walipokuwa wanajenga hoja ya kuongezewa mshahara na kutoa mchanganuo wa gharama ya mahitaji ya msingi, dagaa ilikuwa katika orodha na bei yake ilikuwa chini ya utumbo wa ng'ombe. Leo kilo ya dagaa inaacha zaidi ya maradufu ile ya sukari.
Lipo tatizo kubwa katika Serikali ya Kikwete nalo kutowajibika na kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei. Nchi inaenda naturally.
duh... Wewe ni noma! Leta darsa watu tupate ilmu...
Dagaa huwezi kununua lakini fedha ya kuingia mtandaoni unayo, au unaiba mtandao wa ofisini?
Thanks JichoD umei-present vizuri yaani it is touching message short and clear.Rais Kikwete, miezi 2 iliyopita dagaa kilo moja ilikuwa tsh 3000, leo hii dagaa tsh6200.
Nina watoto 3 wanaosoma, siwezi kuwalisha. Nyama siwezi kununua, na hata dagaa siwei kununua kwa mshahara wa laki 250,000.
Nadhani umeshindwa kuongoza nchi kilichobaki ni sisi kuingia mitaani kukuondoa kama hautaki kuondoka mwenyewe. Siwezi kuendelea kuvumilia, kwa maana kama dagaa chakula cha masikini siwezi kukinunua ni nini sasa nitakachoweza kununua kuwalisha wanangu?
Niwalishe wanangu nini? Nilikupigia kura nikiamini kwamba ungeleta mabadiliko uliyoyaahidi...... baba ondoka, kwa maana umekiua chama chetu cha CCM, vinginevyo tunakwenda Chadema wamama wote
Language mistake unapoandika "nafikili" badala ya "nafikiri". Hiyo unayosema wewe itakuwa ni kusudi na si "mistake", kwani "u" iko wapi na "a" iko wapi kwenye "keyboard" yako? kama untaka kujifundisha kuandika "start a thread" kule jukwaa la elimu, ntakuja kukupa darsa, hapa wacha tuandike kuhusu dagaa.
Rais Kikwete, miezi 2 iliyopita dagaa kilo moja ilikuwa tsh 3000, leo hii dagaa tsh 6200.
Nina watoto 3 wanaosoma, siwezi kuwalisha. Nyama siwezi kununua, na hata dagaa siwei kununua kwa mshahara wa laki 250,000.
Nadhani umeshindwa kuongoza nchi kilichobaki ni sisi kuingia mitaani kukuondoa kama hautaki kuondoka mwenyewe. Siwezi kuendelea kuvumilia, kwa maana kama dagaa chakula cha masikini siwezi kukinunua ni nini sasa nitakachoweza kununua kuwalisha wanangu?
Niwalishe wanangu nini? Nilikupigia kura nikiamini kwamba ungeleta mabadiliko uliyoyaahidi...... baba ondoka, kwa maana umekiua chama chetu cha CCM, vinginevyo tunakwenda Chadema wamama wote
apoooooooo!!!!!!!!! Muongeze nyingine mpaka hakukome......... Te te te ...kwa kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu kiingereza; nilikuwa nafundisha kiingereza uingereza, upo hapo ulipo?
huwezi kufananisha enzi ya nyerere na sasa.na majanga ya njaa yanaweza kutokea wakati wowote bila kujali utawala uliopo.kuhusu computer hata wakati huo ulaya kwenyewe zilikuwa bado,simu ndo kabisaa.tv hata huko tokyo walikuwa cdo wanatumia black and white.usipongeze mtoto wa kike kuota matiti ama wa kiume kuota ndevu ukasema ni malezi wakati hata angekulia mtaani atafikia hiyo stage ya mabadiliko ya maumbileHuupendi ukweli? Njaa tulikuwanayo wakati wa Nyerere, tukipanga foleni kuanzia saa 9 za usiki kungoja kilo moja ya unga wa manjano kwa wiki kwa kaya. Hiyo ndio njaa, ulikuwepo wewe? uliza tuliokuwepo.
Leo mtu anakaa kwenye mtandao na laptop ya millioni anakwambia anashindwa kununua dagaa. Wacha maskhara weye.
Nafurahi kama ujumbe umekufikia barabara.Unasema vijana wa sasa ni wavivu na hawataki kufanya kazi,umewapa kazi wakakataa kufanya?Unatambua kua tatizo kubwa kwa sasa Tz ni ajira,halafu wewe unasema hawataki kufanya kazi,WHAT NONE SENSE!Kama unaona ni mkwala Mbuzi jitokeze hadharani na uongee hizo PUMBA zako uone kitakachojiri kwako.
Kwa Kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu Kiingereza; nilikuwa nafundisha Kiingereza Uingereza, upo hapo ulipo?