Rais wangu JK: Watanzania wanakufa Ujerumani, tafadhali chukua hatua ya haraka kuwaokoa

Poleni sana, hii inatokana na serikali kutokuweka mkazo katika mambo ya msingi kama Elimu na kubaki wanapiga bla bla kwenye mambo yasiyo na tija na kutumia pesa nyingi kwenye mahafla ya kitaifa yasiyo na tija kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Hawa jamaa wapo serious kweli hivyo wanavyo wapeleka watu ugenini wanatagemea wataishi vipi pasipo na mjomba wala shangazi bila ya kutimiliza upande wao wa majukumu waliokubalina. Inashangaza sana serikali ya CCM na dharau zake kwenye masuala ya elimu au ndio sijui wameshaamua tuwekeze tu kwa walimu wageni, wafanyabiashara wageni na viongozi wa kifamilia (ufalme).

Inasikitisha kuona watu wana adhibiwa tena watu wanaoenda kupata elimu ya kujenga taifa, hila on the other hao wa mwaka wa kwanza kidogo unaweza waurumia zaidi hao wa mwaka wa pili vipi kuhusu viji ajira kidogo vya kuongeza mapato ama kazi amna isije kuwa wanataka kuishi kama wanafunzi wa Libya chini ya uongozi wa Ghaddafi ambapo walikuwa wanapata malipo ya anasa na hawategemewi kufanya kazi zozote labda kwa uamuzi wao.

Haindoi kosa kwa wahusika kutotimiza wajibu wao na madhara wanayowapa wenzao hila kidogo na wao wajikamue maana hata hawa wabongo akina mjomba nao si kidogo wanaweza tuliza maumivu ya vijana wao.
 
Wanaamini kwamba si ajabu hata Rais hakuwa na taarifa ya haya matatizo. Ni imani yangu atawasaidia.
 
Hawa jamaa wapo serious kweli hivyo wanavyo wapeleka watu ugenini wanatagemea wataishi vipi pasipo na mjomba wala shangazi bila ya kutimiliza upande wao wa majukumu waliokubalina. Inashangaza sana serikali ya CCM na dharau zake kwenye masuala ya elimu au ndio sijui wameshaamua tuwekeze tu kwa walimu wageni, wafanyabiashara wageni na viongozi wa kifamilia (ufalme).

Inasikitisha kuona watu wana adhibiwa tena watu wanaoenda kupata elimu ya kujenga taifa, hila on the other hao wa mwaka wa kwanza kidogo unaweza waurumia zaidi hao wa mwaka wa pili vipi kuhusu viji ajira kidogo vya kuongeza mapato ama kazi amna isije kuwa wanataka kuishi kama wanafunzi wa Libya chini ya uongozi wa Ghaddafi ambapo walikuwa wanapata malipo ya anasa na hawategemewi kufanya kazi zozote labda kwa uamuzi wao.

Haindoi kosa kwa wahusika kutotimiza wajibu wao na madhara wanayowapa wenzao hila kidogo na wao wajikamue maana hata hawa wabongo akina mjomba nao si kidogo wanaweza tuliza maumivu ya vijana wao.

Mzee,
Nimejaribu kuongea na broo kuhusu hilo la kutafuta kazi, naye kasema kwamba kazi kwasasa Ujerumani si rahisi kupata hata ya usafi kwani Waturuki na watu toka nchi za ulaya mashariki (kama Poland, Slovenia, Slovakia, n.k) wamejazana sana Ujerumani kufanya hizo kazi.
 
Hiii taabu kweli kila kitu kutupiwa rais, Kwani huko Ujeremani hatuna Ubarozi,

Pia hawa watu ni watumishi wa vyuo tena taasisi zinazolipa vizuri watumishi wake wanawajaili wakiwa kwenye lecture theater tuu wakiwa nje ya majukumu ya kawaida hawawasaidii kwa lolote.

Wameongea na waajiri wao pengine wangepata msaada.
 
mkuu umeogopa hadi ukaamua kusajili ID nyingine leo kutupia hii kitu hapa!! unaogopa nini kama unachoongea kina ukweli?? au kuna kitu unaficha ficha mkuu

Mimi mwenyewe nilisomeshwa na DAAD lakini kuna vitu umeeleza mmmh!
 
Mh. Rais,
Baada ya msamaha wako, sasa naomba nieleze kwa ufupi kuhusu ni kwa namna gani unahitajika kuingilia kati, kwani ni karibia watu (watanzania) 50 bila kuhesabu familia zao. Hawa ni wanafunzi wanaofanya masomo yao ya Uzamivu katika vyuo mbalimbali nchin Ujerumani kupitia mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania (kupitia TCU na MOEVT) na serikali ya Ujerumani (kupitia DAAD). Hawa Wanafunzi, kwa hapa Tanzania ni Wahadhiri katika Vyuo vya Umma kama SUA, UDSM, MZUMBE, SUZA, n.k.

CHANZO CHA KIFO CHA HAO VIJANA WA KUIME NA WA KIKE HUKO UJERUMANI.

.​
Poleni sana.
Lakini hapo kwenye heading ulikuwa unamaanisha nini ndugu yangu?
 
Hiii taabu kweli kila kitu kutupiwa rais, Kwani huko Ujeremani hatuna Ubarozi,

Pia hawa watu ni watumishi wa vyuo tena taasisi zinazolipa vizuri watumishi wake wanawajaili wakiwa kwenye lecture theater tuu wakiwa nje ya majukumu ya kawaida hawawasaidii kwa lolote.

Wameongea na waajiri wao pengine wangepata msaada.

Kuhusu waajiri,
Walishawasiliana na wakuu wa vyuo husika ambao ndiyo waiowapa ruhusa ya kwenda kusoma, lkn cha ajabu hata majibu ya barua yao hawakujibiwa. Sababu haijulikani ni kwanini hata wakuu wa vyuo husika wanakosa msaada wa kuwasaidia, kwani wao wako karibu na serikali.

Ubalozi;
Mara ya mwisho barua waliyopata toka ubalozini ilionyehs kwamba Ubalozi kama ubalozi hauna msaada, eti mkataba ni kati ya Wizara ya Elimu na Ufundi kupitia TCU na DAAD ya wajerumani. Kwamba kinachoweza kufanywa na ubalozi ni kuikumbusha MOEVT tu kuhusu hali halisi.
 
mkuu umeogopa hadi ukaamua kusajili ID nyingine leo kutupia hii kitu hapa!! unaogopa nini kama unachoongea kina ukweli?? au kuna kitu unaficha ficha mkuu

Mimi mwenyewe nilisomeshwa na DAAD lakini kuna vitu umeeleza mmmh!

Mzee hapana,
Wewe kama ni Alumni wa DAAD, ni obvious kuna watanzania walioko Ujerumani kwasasa unawafahamu, awe mwenye Full DAAD Scholarship au hao wenye Co-sponsorship (MOEVT na DAAD), jaribu kuwasaliana naye na atakayokuambia ni makubwa kuliko hata haya niliyoandika hapa. Usihofu, hakuna uongo wal chumvi hapa, hii ndiyo hali halisi ndugu yangu.
 
Kuhusu waajiri,
Walishawasiliana na wakuu wa vyuo husika ambao ndiyo waiowapa ruhusa ya kwenda kusoma, lkn cha ajabu hata majibu ya barua yao hawakujibiwa. Sababu haijulikani ni kwanini hata wakuu wa vyuo husika wanakosa msaada wa kuwasaidia, kwani wao wako karibu na serikali.

Ubalozi;
Mara ya mwisho barua waliyopata toka ubalozini ilionyehs kwamba Ubalozi kama ubalozi hauna msaada, eti mkataba ni kati ya Wizara ya Elimu na Ufundi kupitia TCU na DAAD ya wajerumani. Kwamba kinachoweza kufanywa na ubalozi ni kuikumbusha MOEVT tu kuhusu hali halisi.
Xpxpzpvlbl
 
Mimi naongezea..ukushatatua suala lao mheshimiwa sana raisi, wawajibishe wanaohusika!!!

Utamsikia mkuu akiuliza, "Hivi kuwajibisha maana yake nini?" lol!

Rudini bongo mkasome masters Mzumbe...
 
Hii mentality kwamba wazungu, kuwa uzunguni, huwi na shida na wala huwehitaji kusaidiwa kwa maana wasaidiwao ni Miafirika tu, inaanzia hapa. Sitastaajabu wakuu katika Wizara ya Elimu wana mawazo hayo. Ndiyo maana tunaomba na ilhali kwa sehemu nyingi sana sisi ni matajiri potentially kuliko raia wa kawaida wa Ulaya.
Halafu unataka akirejea nyumbani atumikie 'taifa'!
 
Hiii taabu kweli kila kitu kutupiwa rais, Kwani huko Ujeremani hatuna Ubarozi,

Pia hawa watu ni watumishi wa vyuo tena taasisi zinazolipa vizuri watumishi wake wanawajaili wakiwa kwenye lecture theater tuu wakiwa nje ya majukumu ya kawaida hawawasaidii kwa lolote.

Wameongea na waajiri wao pengine wangepata msaada.
Kwani waziri mwenye dhamana anasemaje kabla ya kuruka ngazi na kwenda kwa rais? Sanasana atakachofanya rais ni kumwuliza waziri ampe maelezo ambayo bila shaka atamwambia ufinyu wa bajeti. This will be scandalous.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hope swala hili litashughulikiwa haraka, hamna kitu kibaya kama kuwa nje ya nchi umefulia!
 
Back
Top Bottom