directortanzania
Member
- Jul 4, 2013
- 38
- 23
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Poleni sana, hii inatokana na serikali kutokuweka mkazo katika mambo ya msingi kama Elimu na kubaki wanapiga bla bla kwenye mambo yasiyo na tija na kutumia pesa nyingi kwenye mahafla ya kitaifa yasiyo na tija kwa maendeleo ya taifa letu.
Poleni sana wanafunzi Rais wetu ni msikivu na imani suala hili limeishamfikia na atalitatua.
Hawa jamaa wapo serious kweli hivyo wanavyo wapeleka watu ugenini wanatagemea wataishi vipi pasipo na mjomba wala shangazi bila ya kutimiliza upande wao wa majukumu waliokubalina. Inashangaza sana serikali ya CCM na dharau zake kwenye masuala ya elimu au ndio sijui wameshaamua tuwekeze tu kwa walimu wageni, wafanyabiashara wageni na viongozi wa kifamilia (ufalme).
Inasikitisha kuona watu wana adhibiwa tena watu wanaoenda kupata elimu ya kujenga taifa, hila on the other hao wa mwaka wa kwanza kidogo unaweza waurumia zaidi hao wa mwaka wa pili vipi kuhusu viji ajira kidogo vya kuongeza mapato ama kazi amna isije kuwa wanataka kuishi kama wanafunzi wa Libya chini ya uongozi wa Ghaddafi ambapo walikuwa wanapata malipo ya anasa na hawategemewi kufanya kazi zozote labda kwa uamuzi wao.
Haindoi kosa kwa wahusika kutotimiza wajibu wao na madhara wanayowapa wenzao hila kidogo na wao wajikamue maana hata hawa wabongo akina mjomba nao si kidogo wanaweza tuliza maumivu ya vijana wao.
Wanaamini kwamba si ajabu hata Rais hakuwa na taarifa ya haya matatizo. Ni imani yangu atawasaidia.
Poleni sana.Mh. Rais,
Baada ya msamaha wako, sasa naomba nieleze kwa ufupi kuhusu ni kwa namna gani unahitajika kuingilia kati, kwani ni karibia watu (watanzania) 50 bila kuhesabu familia zao. Hawa ni wanafunzi wanaofanya masomo yao ya Uzamivu katika vyuo mbalimbali nchin Ujerumani kupitia mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania (kupitia TCU na MOEVT) na serikali ya Ujerumani (kupitia DAAD). Hawa Wanafunzi, kwa hapa Tanzania ni Wahadhiri katika Vyuo vya Umma kama SUA, UDSM, MZUMBE, SUZA, n.k.
CHANZO CHA KIFO CHA HAO VIJANA WA KUIME NA WA KIKE HUKO UJERUMANI.
.
Hiii taabu kweli kila kitu kutupiwa rais, Kwani huko Ujeremani hatuna Ubarozi,
Pia hawa watu ni watumishi wa vyuo tena taasisi zinazolipa vizuri watumishi wake wanawajaili wakiwa kwenye lecture theater tuu wakiwa nje ya majukumu ya kawaida hawawasaidii kwa lolote.
Wameongea na waajiri wao pengine wangepata msaada.
mkuu umeogopa hadi ukaamua kusajili ID nyingine leo kutupia hii kitu hapa!! unaogopa nini kama unachoongea kina ukweli?? au kuna kitu unaficha ficha mkuu
Mimi mwenyewe nilisomeshwa na DAAD lakini kuna vitu umeeleza mmmh!
XpxpzpvlblKuhusu waajiri,
Walishawasiliana na wakuu wa vyuo husika ambao ndiyo waiowapa ruhusa ya kwenda kusoma, lkn cha ajabu hata majibu ya barua yao hawakujibiwa. Sababu haijulikani ni kwanini hata wakuu wa vyuo husika wanakosa msaada wa kuwasaidia, kwani wao wako karibu na serikali.
Ubalozi;
Mara ya mwisho barua waliyopata toka ubalozini ilionyehs kwamba Ubalozi kama ubalozi hauna msaada, eti mkataba ni kati ya Wizara ya Elimu na Ufundi kupitia TCU na DAAD ya wajerumani. Kwamba kinachoweza kufanywa na ubalozi ni kuikumbusha MOEVT tu kuhusu hali halisi.
Xpxpzpvlbl
Kwani waziri mwenye dhamana anasemaje kabla ya kuruka ngazi na kwenda kwa rais? Sanasana atakachofanya rais ni kumwuliza waziri ampe maelezo ambayo bila shaka atamwambia ufinyu wa bajeti. This will be scandalous.Hiii taabu kweli kila kitu kutupiwa rais, Kwani huko Ujeremani hatuna Ubarozi,
Pia hawa watu ni watumishi wa vyuo tena taasisi zinazolipa vizuri watumishi wake wanawajaili wakiwa kwenye lecture theater tuu wakiwa nje ya majukumu ya kawaida hawawasaidii kwa lolote.
Wameongea na waajiri wao pengine wangepata msaada.