Rais wa Zanzibar anaweza kumteua kiongozi kutoka bara?

Kwa mfano Rais Mwinyi wa Zanzibar amteuwe muheshimiwa Nape kuwa waziri wa afya kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar,hili aliwezekani.
hapa ndipo tunajifunza kwamba Zanzibar ni nchi isiyo na mamlaka kamili ya kidola.
 
hamna shida anaweza kwani tatizo liko wapi ? Kinachohitajika kwa wazanzibari ni uaminifu,ukweli uwazi na utendaji wenye tija ili kuhuisha maendeleo ya Nchi ya Zanzibar yaliyowekewa guu na wabara chini ya kivuli cha Jinamizi Muungano,hatupumui.

Zanzibar kiongozi akiwa mchapa kazi hata awe CCM wananchi watamkubali na watafanya kazi nae kwa roho safi kabisa ,unajua kama ni makelele yataanza huko kwa miccm ,kwani hata huyu Dr.Hussein walimpiga madongo sana maana yeye inajulikana wazi si Mzanzibari Mkaazi.
 
Hata ardhi kununua kule uwezi acha ardhi ukiwa mbara uwezi pata kazi serikali ya Zanzibar wakati wao wapo uku kibao kwnye ofisi za serikali ya Tanzania bara wanafanya kazi.
 
Hata ardhi kununua kule uwezi acha ardhi ukiwa mbara uwezi pata kazi serikali ya Zanzibar wakati wao wapo uku kibao kwnye ofisi za serikali ya Tanzania bara wanafanya kazi.
Yaakheee hizo ndiyo kheeerooo za muungaaanooo
 
Back
Top Bottom