Rais wa Zambia, Hichilema aalikwa Ikulu ya Marekani

Hapo inaongelewa democracy na utawala wa sheria, sasa Tanzania hii alioiacha Magufuli na demokrasia ni wapi na wapi.

Huyo mama na ujumbe wake wao watalii tu kisha wafanye shopping yao warudi huku mavumbini kwani hana hadhi ya kuitwa The White House 🏠.

Akina Samia wanaamini ktk kuiba kura na kuhujumu uchaguzi ili wakomalie madarakani sifa ambayo wazambia hawana kwani kama wangekuwa nayo Hichilema leo hii asingekuwa hapo ikulu ya Marekani. Tuwape kongole wazambia.
 
N rais ambaye n mzalendo Sana n mmoja ya marais wanaoeshimika Sana kwa sasa
 
Hakuna Chama Tanzania inaweza kupata Kura nyingi zaidi ya CCM.Tanzania kuna upinzani uchwara
 
Hamna chochote Marekani wameangalia maslahi yao
 
Hakuna Chama Tanzania inaweza kupata Kura nyingi zaidi ya CCM.Tanzania kuna upinzani uchwara
Labda kwa uhuni huu wanaoita uchaguzi, wanaandaa, kusimamia na kujitangaza wenyewe "washindi" kwa mtutu wa bunduki. Ccm iliishakufa kitambo hakuna chama pale. Very hopeless.
 
WAULIZE WENZAKO WALIOKUWA WANAHAHA KUINGIA HUKO!!!!!!!!!!!!!!
Kwani wamesharejea ama bado. Shida Bi Haambiliki anadhani dunia ipo gizani wale Wazungu wanaoenda kwenye kesi ya Mbowe ni alama tosha kbs kuwa kuna jambo kubwa. Kapiga picha na Antonio ndio imekuwa news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…