Rais wa Zambia Edger Lungu, Apigiwa Magoti na Waziri Wake

Hivi Zambia na Malawi kuna nini yule kapiga magoti huyu hataki kuchafua sofa ? Vipi Ndugu zetu wanyasa na wandali, wanyakusya wameiga kidogo huko?
 
"Alafu kuna mtu mmoja habari za marais kupigiwa magoti ndio anazipost mara nyingi huko jamii forum... "watch it"
 
Unaweza kwenda kuleta cheti cha f4::
Oooh samahani sana mkuu, Nilinde tafadhali nipo chini ya miguu yako
 
Waafrika sisi duh! yaani hapo hata akiombwa 0713... mbele ya media anatoa tu bila shida!!

Kuna jamaa mwingine nahisi soon tu ataanza kuwatandika bakora raia wake, halafu atasimama mbele ya media atasema, "Hii ndiyo demokrasia ya kweli..."
 
Jamaa alikuwa mwinyi sana

C901744F-BBDA-4EF1-BB2B-4CF912FAA9F2.jpeg
 
Back
Top Bottom