Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

Hiyo maana yake ni kwamba hata Congo imefungwa pia.Kwa kuwa sisi tuna huruma sana basi ni muda muafaka kuanza kutumia ndege zisizo na rubani kuwahudumia majirani zetu.Naanda hapa huku nikiwa namuonea mtu aibu
 
Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"

Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!

Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.

Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.

Tatizo liko wapi? Kila nchi na style yake. Tarehe 15 Dreamliner yetu inapaa India kuchuka watanzania wakiokwama kama wanajeuri warushe na wao. Uwezo wa kiuchumi kwao ni chini zaidi yetu. Ni sawa na Bondia wa feather weight kumtishia Nyau heavy weight!

We jamaa sijui ni umejitoa ufahamu au ufahamu wako ndio umeishia hapo mji uliofungwa ni nakonde bomba la mafuta linakwenda Ndola sasa hapo inahusiana nini halafu hata kama lingekua linakwenda nakonde, mji umefungwa ili kuzuia muingiliano wa watu ili ugonjwa usisambae sasa bomba la mafuta hapo linahusu nini? Kweli wajinga hawaisha dunian.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanaa wakati mwingine ni pale mtu mwerevu anapomwangalia mpumbavu anapotaka kumfanya mwerevu mjinga!!

Simpendi Trump lakini wakati mwingine...
 
We jamaa sijui ni umejitoa ufahamu au ufahamu wako ndio umeishia hapo mji uliofungwa ni nakonde bomba la mafuta linakwenda Ndola sasa hapo inahusiana nini halafu hata kama lingekua linakwenda nakonde, mji umefungwa ili kuzuia muingiliano wa watu ili ugonjwa usisambae sasa bomba la mafuta hapo linahusu nini? Kweli wajinga hawaisha dunian.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninaongelea maslahi kiuchumi kati ya anayefunga. Think out of the Box.
 
Back
Top Bottom