Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

Je, kwan kuna tatizo na Zambia kufunga mpaka wake? Mbona nchi nyingi tu duniani zimefunga mipaka na nyingine kuwafungia watu wao ndani (lockdown)!..
Naona pumzi imewakata sasa ni mwendo wa kutoa ushauri nasaha! Ni aibu sana watu tunaojidai tunawahurumia kwa kuwa hawana bandari sasa wao ndo wanatufungia mipaka. Bila hata consultation ya ujirani mwema.
 
Je, kwan kuna tatizo na Zambia kufunga mpaka wake? Mbona nchi nyingi tu duniani zimefunga mipaka na nyingine kuwafungia watu wao ndani (lockdown)!

Hamkosi la kulaumu ila mjue ukweli kwamba malengo yenu hayafatanikiwa kama hambadiliki kimawazo mkaungana na WaTz wengine kwa maendeleo bila kujali kabila, dini, jinsia, elimu, madaraka, kipato na siasa.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 yawezekana. Mimi, wewe, yeye, wao:-
JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
Unaongea kama Kabudi. Endelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ndo hamuwezi ku survive bila Zambia. Kwanza mnategemea border ya nakonde kuingia Congo. Mnategemea mpate mapato bandarini.
Ukisema kuhusu chakula kama mchele viazi etc vinavyotoka mbeya. Zambia karibu kila mji kuna maduka ya Shoprite na pick n pay. Hizo store ni za wa south afrika na wanaleta kila kitu mpaka ndizi sukari kutoka South vinauzwa hapo

Hicho kiburi alichokua nacho jiwe anawaambukiza Watanzania. Lakini Kaa ukijua Zambia anaweza kusurvive. Atatumia bandari ya beira/Durban kama ikibidi.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Sio kiburi pekee wana ujinga ulio pitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, kwan kuna tatizo na Zambia kufunga mpaka wake? Mbona nchi nyingi tu duniani zimefunga mipaka na nyingine kuwafungia watu wao ndani (lockdown)!

Hamkosi la kulaumu ila mjue ukweli kwamba malengo yenu hayafatanikiwa kama hambadiliki kimawazo mkaungana na WaTz wengine kwa maendeleo bila kujali kabila, dini, jinsia, elimu, madaraka, kipato na siasa.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 yawezekana. Mimi, wewe, yeye, wao:-
JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
Hehehehe nacheka lakini naogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ndo hamuwezi ku survive bila Zambia. Kwanza mnategemea border ya nakonde kuingia Congo. Mnategemea mpate mapato bandarini.

Ukisema kuhusu chakula kama mchele viazi etc vinavyotoka mbeya. Zambia karibu kila mji kuna maduka ya Shoprite na pick n pay. Hizo store ni za wa south afrika na wanaleta kila kitu mpaka ndizi sukari kutoka South vinauzwa hapo

Hicho kiburi alichokua nacho jiwe anawaambukiza Watanzania. Lakini Kaa ukijua Zambia anaweza kusurvive. Atatumia bandari ya beira/Durban kama ikibidi.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Zambia kuna Supermarkets nyingi kuliko hata mashule/hospital.
 
Je, kwan kuna tatizo na Zambia kufunga mpaka wake? Mbona nchi nyingi tu duniani zimefunga mipaka na nyingine kuwafungia watu wao ndani (lockdown)!

Hamkosi la kulaumu ila mjue ukweli kwamba malengo yenu hayafatanikiwa kama hambadiliki kimawazo mkaungana na WaTz wengine kwa maendeleo bila kujali kabila, dini, jinsia, elimu, madaraka, kipato na siasa.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 yawezekana. Mimi, wewe, yeye, wao:-
JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
Ndugu jitambue kidogo. Mimi sio mchangiaji sana humu ila tumia akili japo kidogo. Nakonde imeonekana kama ndio epicenter ya maambukizi na madreva 26 waliopimwa asilimia kubwa (69%) ni watanzania. Tafsiri yake ni kwamba sisi ndio tunasambaza huu ugonjwa!!
 
Je, kwan kuna tatizo na Zambia kufunga mpaka wake? Mbona nchi nyingi tu duniani zimefunga mipaka na nyingine kuwafungia watu wao ndani (lockdown)!

Hamkosi la kulaumu ila mjue ukweli kwamba malengo yenu hayafatanikiwa kama hambadiliki kimawazo mkaungana na WaTz wengine kwa maendeleo bila kujali kabila, dini, jinsia, elimu, madaraka, kipato na siasa.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 yawezekana. Mimi, wewe, yeye, wao:-
JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO

Hoja yako ni ipi hapa we dogo?
 
Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"
Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!

Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.

Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.

Tatizo liko wapi? Kila nchi na style yake. Tarehe 15 Dreamliner yetu inapaa India kuchuka watanzania wakiokwama kama wanajeuri warushe na wao. Uwezo wa kiuchumi kwao ni chini zaidi yetu. Ni sawa na Bondia wa feather weight kumtishia Nyau heavy weight!
 
Back
Top Bottom