Tuna Rais wa wanyonge ki kwelikweli. Ukiwa mnyonge haimaanishi usiheshimu taratibu na sheria za maeneo unayotafuta riziki yako. Wapo wanyonge wengi wanaendelea kuziona juhudi za Rais katika kuwatumikia na kuboresha maisha yao. Kama unabisha waulize wakulima wa Korosho huko Mtwara, Waulize Wanafunzi wa Udsm waliokuwa wanalipa kodi ya pango laki 4 kwa miezi 4 tu.